Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,930
- 103,268
Mtsiewwww 😹😹hahaa yeyote mwenye msimano ana mkao pia!
Kaa kwa kutulia fungu lako laja. Ila sasa upunguze mikazo.
Halafu mimi mapenzi sio kipaumbele changu ujue..!!
Shida nikianza kumsikiliza mtu namkinai..!!
Mi ndo yule anayechunguza bata kabla ya kumla lazima nitaona kasoro tu..!! 😹