Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la.

Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea.

Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia, wazazi na watoto wao ambayo nayo pia siyo guarantee, mengine ni maigizo

Cha msingi ujue na ukubali huo ukweli mchungu.

Tafakari chukua hatua. SITAKUFUNDISHA TENA
Siku "ukifikishwa mlima kilimanjaro" utaelewa!
 
hahaa haya bwana

Sema Lamo unajifanya mgumu ila naona ndani kwa ndani ni mpole sana na unajali.

Mtoto wa kishua dunia ikakuharibu.
Hujakosea mi najali na nna upendo sana..!!
Sema nina misimamo nikiamua nimeamua haina kurudi nyuma hiyo..!! 😹😹

Huyo niliyemuacha kwa jinsi alivyo kwa wengine wangeendelea naye. (Kuna rafiki yangu mmoja alisema, isingekuwa urafiki angeforce ajiweke) 😹
Ni ile aina ya mwanaume anayetakiwa na kila mwanamke..!!

Ndiomana kila anayenitongoza namuona hafikii level ya yule mwanaume..!!
 
Usitutishe tunajua wapi pa kupress.
 
Ukiruhusu mapenzi ya kuumize utaumia sana. Sema kuumia hua kunaanza pale umempenda sana demu umemtongoza amekubali mnaishi fresh halafu baadae anaanza kugeuka tabia mdogo mdogo kumbe kuna kidume kinapeleka moto hatari 😀😀😀😀😀 ukiijua hiyo utaumia saaaana
 
Hujakosea mi najali na nna upendo sana..!!
Sema nina misimamo nikiamua nimeamua haina kurudi nyuma hiyo..!! 😹😹

Huyo niliyemuacha kwa jinsi alivyo kwa wengine wangeendelea naye. (Kuna rafiki yangu mmoja alisema, isingekuwa urafiki angeforce ajiweke) 😹
Ni ile aina ya mwanaume anayetakiwa na kila mwanamke..!!

Ndiomana kila anayenitongoza namuona hafikii level ya yule mwanaume..!!
hahaa yeyote mwenye msimano ana mkao pia!

Kaa kwa kutulia fungu lako laja. Ila sasa upunguze mikazo.
 
Ukiachwa au mkaachana ni loss/ kumkosa mtu. Loss zote zinaumiza.

Binadamu katika ubinadamu wake lazima ana malengo na matarajio, yasipotimia hawezi kukenua na kuchekelea tu, kinyume chake sio lazima alie ila kuumia lazima.

Wanaolia wanashindwa kuzitawala hisia zao, it makes perfect sense, ni binadamu.
 
Back
Top Bottom