Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,541
- 113,700
Wanabodi,
Declaration of interest, mimi pia ni mwanachama wa chama cha siasa!.
zikiwa zimabaki siku 14 tufanye uchaguzi wetu, naomba kuuliza, hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake timamu, anayefahamu maana halisi ya maendeleo, tangu tulipopata uhuru, tulikuwa na rasilimali gani, tungepaswa kuwa wapi, na kulinganisha na hapa tulipo sasa, halafu ukaelezwa sababu ya sisi Tanzania kuwa hapa tulipo, ni CCM, then hivi kuna Mtanzania kweli, mwenye akili zake timamu, bado angeichagua CCM hivi ilivyo kama mgombea wake angekuwa sio JPM?.
Hili ni swali tuu!.
Mimi si miongoni mwa wale wanaodai CCM haijafanya kitu, no!, CCM imefanya mengi, makubwa, mazuri, but it is not enough!, Tanzania tuko hapa tulipo, kwa sababu kuna things CCM should have done, but it didn't, as a result, ndio tuko hapa tulipo!, ila sasa CCM imepata mtu, kwa kumsikiliza Magufuli, you can see his genuinity to change things for the better, tatizo la nchi hii lilikuwa ni CCM, na dawa ya kulitibu ni CCM!. Sasa dawa imepatikana na soon matibabu yataanza.
Hivyo wale wote wenye ufahamu na uelewa wa Tanzania tumetoka wapi, tunakwenda wapi na tulipaswa kuwa wapi, naamini hakuna hata mmoja anaweza kuichagua tena CCM, kama mgombea wake asingekuwa JPM, unless yuko kwenye moja ya makundi haya.
Paskali

- Wana CCM wenyewe, ambao CCM ni chama chao, pamoja na madhaifu yote ya CCM ya hapa na pale, Watanzania bado wanaipenda CCM kwa dhati na ili kuonyesha upendo wa kweli kwa CCM, Watanzania wataichagua CCM, na kuipatia ushindi wa kishindo, despite all the odds!.
- Wako wana CCM waliojiunga na CCM sio kwa sababu tuu wanaipenda sana CCM, bali wamejiunga CCM kwasababu CCM ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye fursa za kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli, hivyo wamejiunga CCM ili kuunganisha nguvu za kuleta maendeleo, hawa wataendelea kuichagua tuu CCM ili kulinda maendeleo yaliyokwisha patikana kupitia CCM.
- Kuna watu ni waelewa kabisa wa CCM imelifanyia nini, tangu tumepata ihuru, tena wanaitambua fika kuwa kuna baadhi ya maeneo, CCM did not do the best, but its the only one we have, hivyo ni kama zimwi, hivyo bado wataichagua tuu CCM kwa sababu hili ndio the only one we have, ni zimwi likujualo, halikuli likakwisha. Hawa wataendelea kuichagua CCM siku zote daima dumu.
- Sababu za why CCM lazima iendelee kuchaguliwa kuongoza taifa hili, nitaendelea nazo wiki ijayo, ila ukisoma baadhi ya hoja hapa chini, utakubaliana na mimi ni muhimu kuendelea kuichagua CCM, ila sasa itakuwa ni CCM mpya, na ukitokea mtu bado una mashaka na hii CCM mpya, wewe you seriously need your head to be examined!, kwa sababu, utakuwa hauko makini na maendeleo ya kweli ya taifa hili, bila wewe mwenyewe kujijua.
- Chini ya CCM hii, kumejitokeza kashfa na operesheni saba kubwa zilizotikisa taifa ni pamoja na Operesheni Uhujumu Uchumi, ufisadi katika Mfuko wa Kuwezesha Uagizaji Bidhaa kutoka Nje ya Nchi (Commodity Import Support CIS) na Kashfa ya Rada. Nyingine ni ufisadi Akaunti ya EPA, kashfa ya Richmond, Operesheni Tokomeza Ujangili na ile ya uchotaji mabilioni katika akaunti ya Escrow, japo zimefanyika chini ya utawala wa CCM, zimefanywa na Watanzania individually na sio sera za CCM.
- Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi ...
- Kuelekea 2015: Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!.
- Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Ikulu Njia Nyeupe 2015!-
- Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target!,
- Kuelekea 2015: Ni Mbio Za Magari Kati ya "Mkweche" na
- Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa..
- Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya
- Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed
- Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 201
- Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi
- Kufanya Kosa Sii Kosa, Kosa Kurudia Kosa!. Je Mwaka 2010 Tu
- Gesi asili: Is it "day light robbery?!"- watanzania tunaibiwa ..
- Topic: Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikis
- Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?!
- Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.
- Kama Kashfa Escrow ni "Richmond", Then, Lowassa Alionewa
- Kagoda, Meremeta, Deep Green, Buzwagi, Bandari, nk
- Tanzania na tuhuma za rushwa:Kashfa ya fedha za EPA
- Meremeta & TANGOLD Revealed!
- ZAFANANA: Kashfa Zote Kubwa Zinaungwa na Nyuzi Zile Zile
Paskali