Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

Watu wakweli kabisa toka ndani ya nafsi zetu ni wachache na tunahesabika!, mimi ni mmoja miongoni mwao!, as long as nilichosema ni ukweli mtupu, nikilisoma nafurahi jinsi nilivyo mkweli.

Mimi ni kama Mwalimu Nyerere, ni mwana CCM, ila CCM ikituletea ujinga, tunaibalasa bila huruma!. Kiukweli kabisa kuna maeneo CCM itatuletea ujinga, niliwahi kuwahamasisha wenye akili ndani ya CCM tusikubali CCM ituletee ujinga!, tuukatae Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani! nikagundua majinga ni mengi zaidi kuliko werevu!.
P
Mkuu kama unaona CCM ni matapeli why uliamua kujiunga nao? huwezi kumkataa shetani na huku uko naye?
 
Back
Top Bottom