Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

Yaani wee acha tu.

FB_IMG_1575390800494.jpg
 
Kwa ujumla wake ni kama HAIWEZEKANI. CCM ni kama mtu anayekukaribisha ule chakula kwa tabasama pana, kumbe kaficha panga mgongoni mwake.

Ni lini wao wamesifia wapinzani zaidi ya kukejeli!!
Mimi naamini Bunge lijalo tutaingiza Wabunge wengi kama ilivyokuwa Awamu ya nne.

Halafu spana ziendelee mimi naamini CCM itasambaratika yenyewe kwa sababu ya Power struggle
 
Ukiwa na Ubongo timamu uliobeba akili timamu zinazofanya kazi kwa utimamu wake, akili timilifu, HUWEZI KUISHABIKIA CCM.
Mkuu umeandika vizuri, Mie nimejiunga Chadema 2019 na ndo mwaka nikajiunga jf, hasa baada ya kuona kila aliekua ccm anaonekana ndo mwenye nchi, nilisema hapana ngoja niwe chadema ukweli Sina stress, ccm ni janga la taifa, wahuni Sana hawa
 
Usinijibu kiholela like you are talking to CHADEMA F6 Div 0 mwenyekiti wenu, answer me with deep thinking, acha ujinga i said, CCM usiizoea kijinga jinga hivyo, nakwambia ukweli, uwe na adabu na CCM, acha ujinga for last time.
Wewe mwenyewe hujui kuandika vizuri.
Acha kutisha watu wewe,hizo enzi za kishenzi zilipita.
 
Ndugu yetu Allen naona umeamua kurudi kwa kasi baada ya kimya Cha muda mrefu,nitakutafuta Kesho tuzungumze vyema ukiwa mjini.

Ila sio sahihi ulichokiandika hapa.
 
Back
Top Bottom