Hivi kweli DIT uploading selection imewashinda mpaka leo!!?!

Hivi kweli DIT uploading selection imewashinda mpaka leo!!?!

haina noma mkuu sema nimechaguliwa automobile sijui ntaweza kubadili nchukue mechanical
iyo ndo ipo bomba xaxa coz wataharam ni wa chache San apa TZ pia tambua tecno inakua gari za ksasa znaongezeka wataalam ndo aknaa
 
daaah kila course nayoweka DIT wanasema imejaa nimechoka mwili roho na kila kitu naona dalili ya kubaki kwetu
leo nimeingia kwenye acc yangu ya dit wameniandikia ivo ngoja nisubir had jioni nione itakuaj
 

Attachments

  • dit.JPG
    dit.JPG
    26.6 KB · Views: 26
Back
Top Bottom