Ukiona hivyo hujachaguliwa paleInatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina kimebaki chenyewe,mnatia aibu hii xana
Ndo hvyo coz hizo ni Engineering za 3 years mtu wa six hawez somahawa Arusha tech nao jipu kweli yani ,course mbili tu ndo zinahitaji direct applicat wa Advance nyingine zote zinahitaji waliotoka diploma ,
mbona ata hizo mbili walizoturuhusu kuapply ni za miaka miwiliNdo hvyo coz hizo ni Engineering za 3 years mtu wa six hawez soma
sasa hizo unaona ni Engineering??? ThinkBigmbona ata hizo mbili walizoturuhusu kuapply ni za miaka miwili
i.e IT na Computer Science
ahaa sawa nimekupata mkuusasa hizo unaona ni Engineering??? ThinkBig
Omba tena DIT jaribu na MUST piaahaa sawa nimekupata mkuu
Wameupload web ipi?Tayari DIT wameapload ila hiyo document haijakaa vizuri sijui imekaaje maana majina machache na namba nyingi
Ukiona hivyo hujachaguliwa pale
DIT ...... direct selectedInatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina kimebaki chenyewe,mnatia aibu hii xana
daaah kila course nayoweka DIT wanasema imejaa nimechoka mwili roho na kila kitu naona dalili ya kubaki kwetu [emoji25] [emoji26] [emoji25] [emoji26] [emoji25]Omba tena DIT jaribu na MUST pia
jaribu MUST me nishaaply MUSTdaaah kila course nayoweka DIT wanasema imejaa nimechoka mwili roho na kila kitu naona dalili ya kubaki kwetu [emoji25] [emoji26] [emoji25] [emoji26] [emoji25]
nataka nitafute chuo chochote na course yoyote sasa hvjaribu MUST me nishaaply MUST
vp mkuu umepatanataka nitafute chuo chochote na course yoyote sasa hv
nimepata wapi ndug ang nalia na nafsi yangu tu apavp mkuu umepata
wamekuandikiaj kwenye profile yakonimepata wapi ndug ang nalia na nafsi yangu tu apa
hawajaandika chochotewamekuandikiaj kwenye profile yako
duh same as mehawajaandika chochote
ila nikijaribu kureapply naona inakubali ,means sjachaguliwaduh same as me