Hivi kweli DIT uploading selection imewashinda mpaka leo!!?!

Hivi kweli DIT uploading selection imewashinda mpaka leo!!?!

me mpaka xaxa cjapata chuo hta kimoja nilichoaply nasubir DIT peke yake nahofia kuaply kwingne naweza kuchaguliwa DIT wakinitema wameniua aisee
Yaan saizi bora uombe tu vyuo vingine ili uwe na option...rather than waiting chuo kimoja
 
3e7de4aa721d729638da17bb0eeb422e.jpg

Me tangia ijumaa asubuhi...
 
yani mzee io tunacheza bahati na sibu tuombe mungu bt ni vema uka apply vingine maana mh mwaka unaweza ukakupita
 
DIT Pale Kuna raia mmoja anaitwa Dr. Saanane, kwa wale mnaoenda kusoma Electrical Engineering pale, kuweni makini sana na huyu mtu mnaweza mkajikuta mnasoma degree yenu miaka 7
 
No Any System News Yet!1. After Submission of Application you will be notified of status.Ndivyo wanavyoandika kwenye acc nikingiia
 
No Any System News Yet!1. After Submission of Application you will be notified of status.Ndivyo wanavyoandika kwenye acc nikingiia
hata me nimeandikiwa hvo mkuu yan sielewi
 
fungua mtandao umekubali asubuhi hii ila mm bado wamenambia nisubir hawaja nipa majibu bado
najaribu saivi wanasema
System is currently undergoing Unscheduled Maintanance, Pls Return after 2 Hours
NGOJA NISUBIRI Tu
 
me mpaka xaxa cjapata chuo hta kimoja nilichoaply nasubir DIT peke yake nahofia kuaply kwingne naweza kuchaguliwa DIT wakinitema wameniua aisee
jaribu kuapply tena vyuo vingine mkuu wakitoa kama umechaguliwa hujapoteza kitu ,isijekuwa majanga kama hutochaguliwa
NB:mimi ndo nilichokifanya
 
madogo kuweni wapole kwani Kufanya application inachukua dakika ngap?? mtafanya hata hyo tar 10 msiwaze
 
Inatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina kimebaki chenyewe,mnatia aibu hii xana
Tayari DIT wameapload ila hiyo document haijakaa vizuri sijui imekaaje maana majina machache na namba nyingi
 
Back
Top Bottom