Hivi kweli DIT uploading selection imewashinda mpaka leo!!?!

choconorma

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
210
51
Inatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina kimebaki chenyewe,mnatia aibu hii xana
 
Me mwenyewe imebid niombe second round tu maana siwaelewi ila leo nataka niwafate chuo pale pale
 
Inavyoonekana siyo kuwashinda na haiweze kuingia akilini kuwa wameshindwa uploading for selection labda walichelewa kufanya selection na ndiyo maana tulkikuwa tunataka ile system ya TCU iboreshwe kuondoa huu utata katika vyuo kuchelewa kutoa majina , Kuwa selection zote zitoke siku moja ili kila mmoja aangalie alikopangiwa au kufanya second application
 
Kweli aisee kuna haja ya hili jukumu kurud tcu
 
Kuweni wapole wakuu....inaonekana wanayaRelease taratibu..mimi sijasoma dit ila majibu washanipa tangu jana asubuhi
 
nimeingia kwenye account yangu nliyoifungua nlipokua naAply dit..nikakuta taarifa ya kuchaguliwa na wakanitaka niConfirm kama ntaenda(kwasabab nimechaguliwa pia na chuo kingine)
mbona sisi inakataa kufungua
 
Inatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina kimebaki chenyewe,mnatia aibu hii xana
Muulize boss wa JF naye kasomea hapo akusaidie
 
Back
Top Bottom