Hivi kweli DIT uploading selection imewashinda mpaka leo!!?!

sidhani kama wanalifahamu hili tatizo
Watakua wanajua...Hii system ya kila chuo kutoa selection zake imekua tatizo...vyuo vingi vimeshindwa kufungua websites zinazoweza kupokea wa2 wengi kwa mda m1 ..hii ndo inasababisha igome kufunguka..sema wametangaza jana watatoa after 2 dayz(j3)
 
2 days
 
Sijui itakuwaje maana iyo second round yenyewe mwisho jnne tarehe 10 na bado system inaleta wenge!...huu mwaka noma sana
me mpaka xaxa cjapata chuo hta kimoja nilichoaply nasubir DIT peke yake nahofia kuaply kwingne naweza kuchaguliwa DIT wakinitema wameniua aisee
 
Back
Top Bottom