Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

a0f7e69325d630cedec2e8daea2b485b.jpg
 
Wewe huwezi kumtambua mwenye matatizo ya akili kama Sizonje.
jiulize mara mbilimbili na uchukue hatua hivi wewe na mwl au daktari? maana unajua hadi wenye matatizo ya akili !!
 
Nani amekuambia Walimu wote ni wanachama wa CWT,kwenye staff yangu kati ya walimu 25 ni sita tu ndio wanachama.
Chadema mna matatizo gani lakini? Viroba vimepigwa marufuku lakini akili zenu bado kabisa. Huwezi kuwa mwalimu halafu usiwe mwanachama wa CWT. Unatudanganya. Chadema tulieni kwanza nchi inanyooshwa
 
Nini kimefanyika hadi mwaka wa wa bajeti umeisha.
ulaaniwe wewe unayemchukia jpm champion wa maendeleo ya kweli ya watanzania. ama wewe ndio mwenye akili mbaya ama ni fisadi mtumbuliwa au mrija wa kinyonyaji umefyekwa. lia hadi ujaze ndoo ya machozi..nchi inasonga mbele bila wanyonyaji wezi wabadhirifu wa mali ya umma.
 
Wewe hauko sawa hivi Bachelor of Arts with Education au Diploma in Education akafanye kazi gani?

Mfia chama ila tambua wanafunzi watafeli sana.
Hasira za walimu ni hatari
Bado kuna hasira za madaktari.
Sitegemei lolote kutoka kwa huyu mungu wa magogoni.
 
Nitaendelea kupokea mshahara kidogo lakini siwezi kuwa na nia njema kwa wanafunzi.
Hasira za walimu ni hatari
Bado kuna hasira za madaktari.
Sitegemei lolote kutoka kwa huyu mungu wa magogoni.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Ni kwa sababu wale walioko upande wa

Hii ni kwa sababu wale walio upande wa chama cha Rais hawaamini kuwa mtu ambaye hayuko kwenye hicho chama kingine anaweza kuwa na mawazo ya maana.
Wanajua ni mawazo ya maana japo machungu kwao, na wanakomaa tu kisabuni na kuvunga na kujitutumua.
Ndiyo maana wakiona hoja inayowa-challenge haraka haraka huibambikiza kulee upande wa pili kwa kuwa wanajua kabisa kuwa upande wao "hawana akili ya kutosha" kuibua hoja nzito na za maana...

Ni mtazamo wangu tu.
 
Aisee
Ni kwa sababu wale walioko upande wa

Hii ni kwa sababu wale walio upande wa chama cha Rais hawaamini kuwa mtu ambaye hayuko kwenye hicho chama kingine anaweza kuwa na mawazo ya maana.
Wanajua ni mawazo ya maana japo machungu kwao, na wanakomaa tu kisabuni na kuvunga na kujitutumua.
Ndiyo maana wakiona hoja inayowa-challenge haraka haraka huibambikiza kulee upande wa pili kwa kuwa wanajua kabisa kuwa upande wao "hawana akili ya kutosha" kuibua hoja nzito na za maana...

Ni mtazamo wangu tu.
 
Nitaendelea kupokea mshahara kidogo lakini siwezi kuwa na nia njema kwa wanafunzi.
Duuu, usifanye hivyo wanafunzi hawana tatizo lolote.
Bora uache hiyo kazi la sivyo nitakuona na wewe akili zako ni kama za mungu wa magogoni
 
Duuu, usifanye hivyo wanafunzi hawana tatizo lolote.
Bora uache hiyo kazi la sivyo nitakuona na wewe akili zako ni kama za mungu wa magogoni
Unaweza kufundisha vizuri wakati unawaza utakula nini?
 
Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).

Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mungu wa Magogoni kutokana na matatizo yake ya akili(ana mapungufu ya akili),tunaambiwa ni wanachadema wote.

Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?

Huyu mungu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.

Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.

Hali imekuwa mbaya tangu huyu mwenye matatizo ya akili alipoteuliwa kuwa mungu ambaye hajaribiwi.

Mimi natamani hata nisikie amefariki dunia,japo naweza kutangulia mimi.

Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.
sorry nje ya mada mgojwa mtambuka alifariki dunia khee?
 
Hauko sawa wewe hujui tumehakikiwa na hao waliofoji vyeti wameacha kazi.

Je walimu wote wamefoji vyeti.
achene na kupokea mishahara kabisa.....hakuna hata mia itakayoongezeka serikali ina mambo mengi ya kufanya sio kuhangaika na walimu waliofoji vyeti
 
Umeongea ukweli sana kiasi kwamba nashindwa kucomment
 
Back
Top Bottom