linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
Duuu Umetoa ya moyoni mwalimu!
Nimewaza sana leo baada ya kuona ni tarehe 14/03/2017 mfukoni nina Tsh40,000 tu na salary hadi tarehe 22/03/2017.Duuu Umetoa ya moyoni mwalimu!
Waseme nn wakat majb wanayo wenyewe, miaka 2 hujaajir walimu na awali kulikua na tatzo la walimu sasa ongeza ktoajiri kabsa unaongeza idadi au unapunguza? Bado waliowaita wamefoji vyeti, bado waliostafu nk, hao viongoz , matamko,makanusho na maelekezo ndo hisani yao,Halafu unajua nini, hakuna kiongozi aliyezungumzia kufeli kwa wanafunzi.
Kila siku kiki za hapa na pale.
Waseme nn wakat majb wanayo wenyewe, miaka 2 hujaajir walimu na awali kulikua na tatzo la walimu sasa ongeza ktoajiri kabsa unaongeza idadi au unapunguza? Bado waliowaita wamefoji vyeti, bado waliostafu nk, hao viongoz ni sawa na nguruwe tu, matamko,makanusho na maelekezo ndo hisani yao,
Kupatwa kwa Tanzania, UHAKIKI ndo kazi Kuu ktk kudumisha Elimu, hovyo kabsa hawa nyumbu!
Hilo shirikisho la vyama vya wafanyakazi siku wanatakatisha tu wamesahau wajibu wao.. Sijawahi kuona wafanyakazi wehuuuu kama wanchi hiyo wasio na sauti wasio jitambua.. Nendeni dom inaenda kama mikondoo... No cheo, no increments, no kupandishiwa mshahara... Chama kipo wanatakatisha tu...
Iba Fuso zima, kasheshe itakuwa ni Wapi pa kuzupeleka?[emoji23] [emoji23] [emoji23] chaki za Tsh1,500.
Hata kununua kilo ya sembe haitoshi.
Mimi ndio Sizonje MWENYEWE , karibu sanaHazikutoshi wewe kama Sizonje.
Nazipeleka chattle.Ndio wewe unakata kodi lakini hurudishi kwa wananchi.