Hivi kwanini watu wanapenda kuambiwa uongo?

Hivi kwanini watu wanapenda kuambiwa uongo?

Penye ukweli uongo ujificha na penye uongo matumaini hujitokeza
 
Ilianzia bustani ya Edeni. Mwanamke ameumbwa kudanganywa tu.
 
Mtoto:mama nina mimba

Mama:yerewiii we mtoto mbona unataka kuniua

Mtoto:nakudanganya mama nimepata zero tu matokeo ya necta

Mama:ahhh afadhali
 
Mkuu wanaume hupenda kwa kuona, ila wanawake hupenda kwa kusikia we piga fix mambo yanakua poa, kuna fuse Mungu hakuweka kwa hawa viumbe wakat anafanya test akapitiliza mtaan so finishing haikukamilika.
 
Wanapenda maneno matamumatamu, ukweli hawautaki.
 
Hili jambo nimeliona mara nyingi katika mahusiano na hata katika urafiki wa kawaida wa mwanamke na mwanaume.

Ni leo tu asubuhi 'mtu wangu' amenitext kuniomba nifunge, kwa wale wakristo wanaelewa ni msimu wa mfungo huu.

Sasa akanambia nim promose kama nitafunga, mimi nikamjibu HAPANA, siwezi kufunga ntakuwa najidanganya na namdanganya.

Sasa nashangaa amekuja juu kweli, oooh bora hata ungenambia utajitahidi ingetosha.

Sasa mimi najiuliza, hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kuambiwa uongo kuliko kuambiwa ukweli?

Nawasilisha.

Si kweli kwamba wanawake wanapenda kuambiwa uongo bali kuna baadhi ya wanawake hata wapo wanaume wa aina hii ambao wanapenda kuambiwa kile wanachotaka kusikia hivyo wakiambiwa tofauti na walichotegemea kusikia kutoka kwako inakuwa shida.
 
Ila ukweli unaponya wakati mwingine, sio kila jambo tu useme uongo inategemea na issue yenyewe.
 
Mkuu wanaume hupenda kwa kuona, ila wanawake hupenda kwa kusikia we piga fix mambo yanakua poa, kuna fuse Mungu hakuweka kwa hawa viumbe wakat anafanya test akapitiliza mtaan so finishing haikukamilika.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Uzuri wa kusema ukweli huna haja ya kukumbuka ulilolisema.
 
nisawa umwambie ukweli mwanamke kwamba ana nuka mdomo...daaah timbwili lake apo. Asa sijui mtu uvumilie harufu mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom