Xana ndo nini
Uboya huoKielezi
Ulikuwepo wakati natongozwa?ndo ipo hvyo hata wewe uliyenaye alutumia uongo mwingi mpk sasa anakumiliki 7bu wengi walikuwa wanatupa ndoano hapo kwako sasa ilibidi atumie mbinu ya uwongo ili kukuteka
lbda km ulimpenda mwenyewe
hapana sijakuwapo [emoji18] [emoji18]Ulikuwepo wakati natongozwa?
penda ukweli maana ukiujua utakuweka huru kwelikweliukwli kuubeba unataka moyo... uongo unapooza machungu
siyo ukweli wote utaniweka huru mkuu mwingine utanipa stresspenda ukweli maana ukiujua utakuweka huru kwelikweli
Uko sawa, mara nyingi madaktari wakiona mgonjwa haponi wanakupa dawa umrudishe home,wanakwambia atapona huku wakijua haponi...inasaidia sansiyo ukweli wote utaniweka huru mkuu mwingine utanipa stress
la sivyo ingekuwa hali mbaya sana uongo mzuri uendelee tuUko sawa, mara nyingi madaktari wakiona mgonjwa haponi wanakupa dawa umrudishe home,wanakwambia atapona huku wakijua haponi...inasaidia san
Nami nasema uendelee tu hamna namna, hata ukigawa huko nje ukaja kunidanganya kuwa leo hujiskii vizuri ntaridhika tula sivyo ingekuwa hali mbaya sana uongo mzuri uendelee tu
shetani hakudanganya lolote kuhusu tunda, wanawake wanapenda kusikia wanavyovipenda!Kwani wadhani shetani angemwambia ukweli angekubali kula tunda??