Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 751
- Thread starter
-
- #41
Basi hawa viumbe inabidi tuanzishe kampeni za kuwakomboa wanaume wenzetu walio tekwa na wanawake wachawi.Wala halina mjadala hilo, tizama wanaume wao wengi ni mazuzu hufanya mambo kwa maslahi ya upande wa mke wake zaidi kuliko wake.
Mambo..?😉-Mbona mi sina elimu
-Tegemezi
lakini sio mwanga?
Tutakuaminije sisi dada, wengine mpaka tunaogopa yaani, maana ukisha oa mke mchawi tu hata watoto wanakuwa wachawi.-Mbona mi sina elimu
-Tegemezi
lakini sio mwanga?
Nionyeshe mmoja tumsaidie mara moja boss.Basi hawa viumbe inabidi tuanzishe kampeni za kuwakomboa wanaume wenzetu walio tekwa na wanawake wachawi.
Huyo brother kaka ni mtu wa kutoka mkoa gani?-Mbona mi sina elimu
-Tegemezi
lakini sio mwanga?
Mkuu mimi nilinusurika kwa mwanamke mmoja mzuri wa sura lakini bonge la mchawi yaani. Lakini nilijitahidi sana kupiga maombi mkuu, hakika nikamtoa no kauti🤣🤣😂😅
Nimeishia kusoma kichwa cha habari..
Mweka mada pole sana yaonekana umepitia mengi..😂😂
Wakati unaandika haya usimsahau aliyekuwa anakupanga kwenye pot na kufua mikojo yakoWala halina mjadala hilo, tizama wanaume wao wengi ni mazuzu hufanya mambo kwa maslahi ya upande wa mke wake zaidi kuliko wake.
Wasamehe bure wadogo zako.. Wanasumbuliwa na balehe-Mbona mi sina elimu
-Tegemezi
lakini sio mwanga?
Mkuu mimi nikianza kuhubiri nataka nihubiri wanawake waache uchawi waache kutosha wajomba zetu waache kuroga baba zetu waache kuroga kaka zetu badala yake wamtafute MunguTukishakuwa vijana na kuota nywele za chini na kidevuni huwa tuna tabia ya kusahau kabisa na kumsahau yule aliyetufanya sisi kuwa sisi na kuanza kashfa za kila aina
Mkuu sisi sote ni watu wazima, hakuna mtu mwenye balehe hapa we are seriously. This kampeni tokomeza uchawi kwa wanawakeWasamehe bure wadogo zako.. Wanasumbuliwa na balehe
Sijazaliwa na kukua kwenye nyakati za kupupu kwenye mapoti.Wakati unaandika haya usimsahau aliyekuwa anakupanga kwenye pot na kufua mikojo yako
Alafu wewe dingi wewe.Wasamehe bure wadogo zako.. Wanasumbuliwa na balehe
Nimegundua wewe umepewa limbwata kwa hiyo huu uzi umekugusa penyewe. Rejea dalili za mtu aliyepewa limbwatawe jamaa ni kilaza wa kiwango cha kusikitisha, unafikiria vitu vya ovyo kabisa
Ndo wewe kwenye avatar?-Mbona mi sina elimu
-Tegemezi
lakini sio mwanga?
Utangulizi.Uchawi ni nini ?
Tuanze kwanza na kutoa tafsiri ya neno uchawi