B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,579
- 3,270
Hivi kuna mtu mweupee...mi brown sio mweupe,mweupe ni karatasi.hivo rombaya ni nini?maana si makaladi asilimia kubwa jatina roho mbaya,shitani ni mweusi,roho mbayaa asilimia kubwa imeundwa kwa watu weusi,mtu ajamkosea kitu yuko rathi kukufanyia ulozi usifanikiwe,black people hakujui humjui ila yuko tayari kukwamisha deal.rangi manjanoo...rangi ya mtume,udogo wa makka,ndo maana hata jitu jeusi lina jikrim kuwa manjano.kuhusu roho mbaya ni jinsi ulivyo umbwaa na makuzi yako,kuna usemi unasemaa,"jamaq black kama ukuta wa jiko,anangeu usoni,kichwani ana para,jicho moja kawekewa la kondo,ila jamaa ana roho nyepesi kama ya kuku...ila sasa Jamaa hb kama. Chriss brown,bonge la tozi,full unyunyu kumbe ni bonge la haslaaa ana roho ngumu kama ya paka