Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Nina ndugu yangu wa kiume mweupee ana miaka 38 sasa hajawahi oa, hana mtoto, hata mchumba hana. Ana kazi ya kuwadharau sana wanawake hasa weusi. Kila.mwanamke.anamuona mbaya hasa baada ya kulala nae. December kwenye kikao cha familia aliulizwa kama angalau ana mtoto familia imjue hata likitokea lolote imuhudumie jamaa akasema hana mtoto yeyote. Tulimpa jukumu la kutuletea mke December hii lakini mpaka hapa ninavyojua hatafanikiwa😀
Kumbe ni kweli ee
Acheni wadada walalamike
Hii mijitu sijui inajikuta nani labda
Farao au herodes?
Ovyo kabisa
Ndio maana wengi wanaishia kuwa ma gigolo, na wakizeeka wanatia huruma wewe,
 
Roho mbaya hiyo inatafsiriwa kwa kigezo na sifa zp?
Au n HELA inatakiwa kutoka kwa maandishi
Naamini kwa asilimia zote wewe ni mweupe
Embu sema.ukweli
Kwanini una roho mbaya?
Endelea kuamini kama unachokiona ndio hicho.

Kuna nyakati Maisha yamenifundisha kumwelewa kwanza MTU maana Nilishawahi kumuhukumu Mtu wangu mmoja WA karibu sana ana Roho Mbaya ila siku niliyokuja kuona upande wake WA pili...nikajua Mwanadamu NI kiumbe kompleksi Sana kumwelea hasa ukiwa ndani ya Boksi

Nikabaki kusema kimoyo Moyo kuwa nimekosa Mimi nimekosa Sana......
 
Nina ndugu yangu wa kiume mweupee ana miaka 38 sasa hajawahi oa, hana mtoto, hata mchumba hana. Ana kazi ya kuwadharau sana wanawake hasa weusi. Kila.mwanamke.anamuona mbaya hasa baada ya kulala nae. December kwenye kikao cha familia aliulizwa kama angalau ana mtoto familia imjue hata likitokea lolote imuhudumie jamaa akasema hana mtoto yeyote. Tulimpa jukumu la kutuletea mke December hii lakini mpaka hapa ninavyojua hatafanikiwa😀
Bahati nzuri diniani kote tuna uhuru wa kuamua kwenye jambo hili
 
Eh, mniache
Nimalizane na Birthday yangu
Me.maswali mengine sina majibu
Kuna mrembo ameulizq hapa

Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish

Kwenye mechi wabovu

Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini?

Hili swali niliulizwaga zamani sana miaka ya 70 na jirani yangu, mwisho wa siku aliolewa na mwanaume mweusi, tangu alipoolewa yule mwanaume mweupe hajawahi kuoa mpaka wa leo mwaka 2025 na hana mtoto

Haya weupe na weusi muungane hapa mje mjibu swali la mrembo
Wanaume white tunasimangwa sana🥲
 
wewe tangu 2014 ni wanaume weupe wanaume weupe psychologically inawezekana unaumia kwa namna ulivyo.

yani unajilinda dhidi ya mfadhaiko wasiwasi au hali mgumu kihisia .

psychologically una kitu kina itwa denial yani unajikataa au unakataa ukweli wa jambo ili kuepuka maumivu ya kihisia .
 
Back
Top Bottom