Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Ngoja nicheke mie 😹😹😹 m nipeni awo weupe tumalizane vzr Kila mtu alete dharau 😹💔
Happy late birthday mtoa mada Money Penny ♥️♥️
Thank you Madam
 
Kwahiyo mtu kuwa muaminifu kwenye mahusiano yake na kukwambia hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wewe ndo roho mbaya?
Wale watu ni kama mafarao sikia kwa jirani
Oa mke mweusi tu hizi kelele hutazijua
 
Bahati nzuri diniani kote tuna uhuru wa kuamua kwenye jambo hili
Gusa kweupe uone
 
Na wenye vipara je wana sifa gani
Tuko kwenye rangi bro
Tukikata nywele tutakuita
 
wewe tangu 2014 ni wanaume weupe wanaume weupe psychologically inawezekana unaumia kwa namna ulivyo.

yani unajilinda dhidi ya mfadhaiko wasiwasi au hali mgumu kihisia .

psychologically una kitu kina itwa denial yani unajikataa au unakataa ukweli wa jambo ili kuepuka maumivu ya kihisia .
2014 sijawahi kuwa jamii forum
Pole naona unanichanganya na shangazi yako
 
Tafuta mwanaume mweupe akubandue alidhalishe
Tafuta demu mweupe akunyooshe
 
Acheni kuwapangia watu maisha..kama hana interest na kuoa haina haja ya kumlazimisha
 
Eh, mniache
Nimalizane na Birthday yangu
Me.maswali mengine sina majibu
Kuna mrembo ameulizq hapa

Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish

Kwenye mechi wabovu

Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini?

Hili swali niliulizwaga zamani sana miaka ya 70 na jirani yangu, mwisho wa siku aliolewa na mwanaume mweusi, tangu alipoolewa yule mwanaume mweupe hajawahi kuoa mpaka wa leo mwaka 2025 na hana mtoto

Haya weupe na weusi muungane hapa mje mjibu swali la mrembo
min -me njoo kaka tunatukanwa huku..
 
Wewe ajuza tulizanisha mzuka. Miaka ya 70 umeisha pevuka mpaka unafatwa kuulizwa maswali kama kungwi. Tulia weka uzee wako kwa staha acha kuchokonoa mambo.
 
huyu mama. ni mkongwe may be 40+ psychologically ana mfadhaiko,wasiwasi au maumivu ya kihisia probably kwa sababu ya namna alivyo.

sasa kwenye kujilunda anaona ateme nyongo kwa watu ambao they don't give a damn fck
We ndio wale weupe ambao hamna ladha kabisaa mmepoa kama soseji ya kitimoto
Poyeee
 
Yawezekana ni kazi moja mbovu mnoo...sasa inaoona hadi wanaume wamependeza anapandwa na kihoro..mwsho wa siku anakuja kutapika huku jukwaan
 
Namna ambavyo wanafanyiwa aisee
Kumbuka "wanasema nimebarika lakini mengi yamenibadilisha"
Farao au herode?
 
Hao ni wanawake wenzenu isipokua jinsia!!

Yaani sisi black tupo hapa tunang'aa kama nyoka unaenda kuolewa na cheupe dawa kisa anaringa ni mweupe!!?

Kuweni makini nyie!
Meona ee
Waambie ndugu zako tatizo wabishi sana
 
Back
Top Bottom