Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Mbona wanawake weupe mnajiuza rejareja na wala hatusemi?
Anzisha uzi uone shughuli yake
 
Hujaijua ngozi nyeusi wewe,inakuua huku inakuchekea🚮
Thubutu
Waliomfunga mandela walikuwa weusi ee?
 
Siku ya leo naona mmewaamulia wanaume weupe.
Mara roho mbaya mara hawapendwi wanachukiwa mara wanajiskia au n wivu pia ipo ndani yake
 
huyu ni tangu 2014 mzee post zake ni wanaume weupe wanaume weupe
We white tulia bwana hamna anaekutaka
Katafute cheusi mandala uoe
 
😀😀😀😀 Ukiona hivyo ujue ana tatizo yeye anapenda wanaume weupe afu anaishia kupigwa chini
Huo utumbo wa nguruwe napeleka wapi?
Unataka nife maskini kwa kuolewa na ngozi jeupe?
 
Wivuuu tu..
Watu weusi ni kizazi cha laana
weusi ni nembo ya ufukara.
Haya tajiri white unafanya nini jamii forum?
Uuuwi nimecheka mpaka watu wameshtuka
Akizi za white fupi sana
 
Wewe ajuza tulizanisha mzuka. Miaka ya 70 umeisha pevuka mpaka unafatwa kuulizwa maswali kama kungwi. Tulia weka uzee wako kwa staha acha kuchokonoa mambo.
We white kalale bwana hamna anaekutaka
Rangi peleka uwanja wa mpira hamna anaekutaka
 
Weupe ni wazungu na Asians hao lazima wawe hvo maana ni goal oriented sasa ww na mukandala wako hauna nidham au mweupe afrika au tz ni nani mm naona sote ni black
 
Money Penny najua utakataa ila ukweli ni kwamba inajilengesha sana kwa wanaume weupe na wanakukataa, kubali au kataa huo ndio ukweli
Me nikafuate nini kwa manguruwe
Kibo
Mume wangh mweusi kama tairi ya gari
 
Me nikafuate nini kwa manguruwe
Kibo
Mume wangh mweusi kama tairi ya gari
Wewe umekataliwa tu! Na usikute wewe mwenyewe hapo ni mwanaume umekuja kuwapondea wanaume weupe baada ya kuibiwa demu
 
Back
Top Bottom