pipe-mapipandoWa mikoani mmeshazoea misuruali mipana kama pipe za TAZAMA kiasi kwamba hata ukifunga mzigo wa kuni kwa ndani hautaonekana, mkifika huku kwanini msishangae?
Huyu sio njiwa huyu bata mzingahahahahaa subiri buku ten yako mkuu
Kashakutumia mkuu iyo 10elfu
Si kazi hata MB za kuisoma post hana, yupo facebook saa hizi anauza sura.Kashakutumia mkuu iyo 10elfu
Mda mrefu nakusubiria urudi mkuu.Narudi
Ushamba wako tu, hujui dsm kuna joto?Habari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku wanavaa visuruali vinabana alafu NJIWA, najiuliza ni fasheni, ushamba wangu au ufala wao?
Yaani mpaka soksi zao zinaonekana freshi tu ila hawana wasiwasi. Na vitambi vyao juu.
Suruali pia zinawabana mpaka hawawezi panda usafiri vizuri.Mambo ya mjini hayo mkuu
Joto na suruali fupi nyeusi? Tena inabana? Mshamba mimi au wewe?Ushamba wako tu, hujui dsm kuna joto?
ila wenyewe wanakwambia ni kwenda na muda piaSuruali pia zinawabana mpaka hawawezi panda usafiri vizuri.
acha dhihaka na imani za wengine.umeona answari suni unaita wanaume Wa dar