Hivi kwanini wanaume wa Dar haswa wa mjini kati (Posta) wanavaa visuruali njiwa?


squirtinator

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Messages
2,662
Points
2,000
squirtinator

squirtinator

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2015
2,662 2,000
Habari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku wanavaa visuruali vinabana alafu NJIWA, najiuliza ni fasheni, ushamba wangu au ufala wao?
Yaani mpaka soksi zao zinaonekana freshi tu ila hawana wasiwasi. Na vitambi vyao juu.
 
savage94

savage94

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
328
Points
500
savage94

savage94

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
328 500
Habari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku wanavaa visuruali vinabana alafu NJIWA, najiuliza ni fasheni, ushamba wangu au ufala wao?
Yaani mpaka soksi zao zinaonekana freshi tu ila hawana wasiwasi. Na vitambi vyao juu.
Mambo ya mjini hayo mkuu
 
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
2,392
Points
2,000
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
2,392 2,000
Kufuatilia wanaume wenzio nao ni UDAR

Kwa namna hii lazima msusiwe korosho na wanaume wa Dar
 
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
570
Points
500
nadry

nadry

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2017
570 500
ulitaka wavae je,kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakavyo ilimradi asiende tofauti na maadili ya kiafrika.au ulitaka avae bwanga?
 
blogspot

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,037
Points
2,000
blogspot

blogspot

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,037 2,000
Ni fashion tu mkuu mbona uko mikoani mnashinda na kitu wanaita Msuli wakati mnavuna korosho
 
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
4,120
Points
2,000
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
4,120 2,000
umeona answari suni unaita wanaume Wa dar
 
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Messages
2,777
Points
2,000
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined May 18, 2015
2,777 2,000
Tushawachoka na habari zenu za dar dar dar
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
5,494
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
5,494 2,000
Nionyeshe picha ya diamond akiwa na suruali njiwa nikutumie elfu 10
Role model wao diamond anachofanya na wao wanafanya iko siku tutasikia jambo baya zaidi nao wanafanya.
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
1,031
Points
2,000
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
1,031 2,000
Mambo ya fashooon, mkuu na wale ndugu zangu an-swar suna nao ni wanaume wa dar
 

Forum statistics

Threads 1,283,885
Members 493,858
Posts 30,804,601
Top