Hivi kwanini wanaume wa Dar haswa wa mjini kati (Posta) wanavaa visuruali njiwa?


hazard cfc

hazard cfc

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
8,252
Points
2,000
hazard cfc

hazard cfc

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
8,252 2,000
Kadet lazima ichongwe kidogo,chini wanatupia moka
 
1stMay

1stMay

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
560
Points
1,000
1stMay

1stMay

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
560 1,000
Umesahau kingine...wanapaka mapowder, lipstick, wananukia kutuzidi...
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,531
Points
2,000
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,531 2,000
Wa mikoani mmeshazoea misuruali mipana kama pipe za TAZAMA kiasi kwamba hata ukifunga mzigo wa kuni kwa ndani hautaonekana, mkifika huku kwanini msishangae?
pipe-mapipando
 
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
6,741
Points
2,000
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
6,741 2,000
Wale wengi ni wanachuo wanavaa vinjiwa halafu wanachomekea
 
k-bee

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
249
Points
250
k-bee

k-bee

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
249 250
Usipende kufuatilia maisha ya watu...Vngne ukijua utajiliza bure........... na nyie huko kijijin tafuten staili yenuya kuvaa
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
10,304
Points
2,000
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
10,304 2,000
Habari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku wanavaa visuruali vinabana alafu NJIWA, najiuliza ni fasheni, ushamba wangu au ufala wao?
Yaani mpaka soksi zao zinaonekana freshi tu ila hawana wasiwasi. Na vitambi vyao juu.
Ushamba wako tu, hujui dsm kuna joto?
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
631
Points
1,000
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
631 1,000
Ni sunnatu nnabiyya mtume wetu muhammad (s.w.a) mwanamume kuva suruali isiyo isiyovuka fundo mbili za miguu ambayo ww ndio unaita njiwa
 

Forum statistics

Threads 1,285,875
Members 494,778
Posts 30,877,121
Top