Hivi kwanini wanaume wa Dar haswa wa mjini kati (Posta) wanavaa visuruali njiwa?

Usipende kufuatilia maisha ya watu...Vngne ukijua utajiliza bure........... na nyie huko kijijin tafuten staili yenuya kuvaa
 
Habari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku wanavaa visuruali vinabana alafu NJIWA, najiuliza ni fasheni, ushamba wangu au ufala wao?
Yaani mpaka soksi zao zinaonekana freshi tu ila hawana wasiwasi. Na vitambi vyao juu.
Ushamba wako tu, hujui dsm kuna joto?
 
Ni sunnatu nnabiyya mtume wetu muhammad (s.w.a) mwanamume kuva suruali isiyo isiyovuka fundo mbili za miguu ambayo ww ndio unaita njiwa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom