Hivi kwanini wanasheria huwa wanaitana wakili msomi

After all... napenda sana kukaa meza moja na huyo anaejiita msomi..

Ana nini cha zaidi..? Vifungu vya sheria? Kila siku vipo Dynamic......

Ww unaejiita Msomi una nini cha kunivutia niseme kweli huyu ni msomi...

Kuna mwenzao ktk msfar wa makonda alikuwa hajui hata KUSOMA....

mnabisha niwawekee ushahidi.. tena ni wa TLS kbs.
 
Mtu kama ni msomi ni msomi tu. Huwezi kumuondolea hilo.

Usomi siyo kukariri na wala haupimwi kwa vitisho.

Huyo konda mwenyewe elimu yake inafahamika na kila Mtanzania, kwa hiyo hana kigezo cha kumpima aliyesoma.

Kama wewe unajiona umesoma na una uhakika, basi jiite msomi tu maana hakuna kizuiIzi.

Punguzeni makasiriko.
 
Ukiyasoma vizuri maelezo yake ni kwamba yeye hajasoma, ila ana wivu na dada yake ambaye amesomea law.

Hawa ni wale mabroo wanaopigwa jeki na dada zao ila mwishowe kichini chini wanawadis hao dada zao.
Hahah nifuatilie vizuri eti sijasoma 😂😂😂 mi ni engineer we kilaza sasa fananisha siasa zako na uhandisi

Mi nashangaa tu mwanasheria ana usomi gani? Maana hata darasani wale vipanga wanaendaga either engineering au Medicine

Sheria wanasomaga wale average students...sasa kilaza kama wewe unamaliza kozi ya sheria na unapata muhuri mimi kipanga wako nitashindwa?
 
Ni hivi, mfano, wewe ni Engineer maana yake wewe unafahamu sheria za ujenzi kwa undani.

Halafu mimi ni mwanasheria, maana yake ninazifahamu sheria zifuatazo:

1. Sheria za ujenzi.

2. Sheria za mazingira

4. Sheria za kazi

5. Sheria za uvuvi

6. List inaendelea.

Sasa hilo gap nililokupiga hapo, ndipo usomi wa mwanasheria unapoingia.
Hata engineer anakuwa anazijua kwa sababu ndiye mtekelezaji wa hizo sheria. Kuzijua sheria siyo lazima uwe mwanasheria au wakili.
 
Hahah nifuatilie vizuri eti sijasoma 😂😂😂 mi ni engineer we kilaza sasa fananisha siasa zako na uhandisi

Mi nashangaa tu mwanasheria ana usomi gani? Maana hata darasani wale vipanga wanaendaga either engineering au Medicine

Sheria wanasomaga wale average students...sasa kilaza kama wewe unamaliza kozi ya sheria na unapata muhuri mimi kipanga wako nitashindwa?
Sasa kama ni rahisi kwanini hukusoma?

Yatosha wewe jiite injinia msomi kwani umekatazwa au unaona aibu jamii itakuchukuliaje?
 
Hahah nifuatilie vizuri eti sijasoma 😂😂😂 mi ni engineer we kilaza sasa fananisha siasa zako na uhandisi

Mi nashangaa tu mwanasheria ana usomi gani? Maana hata darasani wale vipanga wanaendaga either engineering au Medicine

Sheria wanasomaga wale average students...sasa kilaza kama wewe unamaliza kozi ya sheria na unapata muhuri mimi kipanga wako nitashindwa?
Engineer baki hivyo hivyo kuna watu wamesoma sociology, community development wanaandika projects wanapata hela sana, ww baki na engineering yako
 
After all... napenda sana kukaa meza moja na huyo anaejiita msomi..

Ana nini cha zaidi..? Vifungu vya sheria? Kila siku vipo Dynamic......

Ww unaejiita Msomi una nini cha kunivutia niseme kweli huyu ni msomi...

Kuna mwenzao ktk msfar wa makonda alikuwa hajui hata KUSOMA....

mnabisha niwawekee ushahidi.. tena ni wa TLS kbs.
Yule sio wakili, taja jina lake tunaingalie kwenye system
 
Back
Top Bottom