Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,932
- 3,776
Elimu ni uhandisi na udaktari izo nyengine ni siasa tuMwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.