Kuna wakili wangu mmoja alikuwa ananisimamia kesi yangu alikuwa anakuja mahakamani na TOROLI LA VITABU. 😁😁Hii ni taaluma inayohitaji kusoma Kila wakati. Sio tu kusoma sana wakati unaadaliwa Bali hata wakati unatekeleza majukumu yako. Fikiria kwa mfano kwa kipindi Cha miaka 5 tu, Sheria ngapi zimebalika na kuterekebishwa? Ni kesi ngapi (precedents) zimeandikwa? Na kwanini? Hivyo kama wewe sio Mtu wa kuji update kwa kusoma na kuresearch Kila wakati lazima upate shida sana. Hasa unapokuwa Mahakamani.
Ndio maana inaitwa LEARNED PROFESSION. Sidhani kama Kuna taaluma yenye kusoma kwingi kama Sheria.
Hehehehee nimekupata kama ilivyo CPA... Inavyokuja kasiHahaha... hakuna kitu kama hicho.
Hata majaji wanaitwa JAJI MSOMI, au HAKIMU MSOMI, au WAKILI WA SERIKALI MSOMI.
A learned judge, a learned magistrate, a learned state attorney, a learned counsel.
Haya sio majina ya ujiko au ya kutafuta fedha, ni majina wanayoitana watu wa fani ya sheria kwa malengo ya KUHESHIMIANA na si vinginevyo.
Hata Jaji akitaka kumuita Wakili lazima aseme WAKILI MSOMI. Wanapeane heshima kwa namna hiyo.
Unaweza pia ukajiita POLISI MSOMI.
Kama unajiamini umesoma kwani unaogopa nini? Msomi akijiita msomi kuna tatizo?
Jiite POLISI MSOMI, ukichekwa shauri yako. Au MGAMBO MSOMI.
MKURUGENZI MSOMI, SEKRETARI MSOMI, MKUU WA WILAYA MSOMI.
Hahaaaaaa hadi mgambo msomiHahaha... hakuna kitu kama hicho.

Ila wivu ni kidondani moja ya njia ya kujipa utukufu, hawana lolote wengi wao ni matapeli tu
Kwani uwongo...wapo mawakili matapeli na wenye tamaaIla wivu ni kidonda
Nadhani wamekosa neno sahihi la Kiswahili linalotumika mahakamani "Learned brother" hii unaitafsiri vipi?Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
Kumbe hadi mamtoni huwa wanaitana hivyoNadhani wamekosa neno sahihi la Kiswahili linalotumika mahakamani "Learned brother" hii unaitafsiri vipi?
Lakini bora wangesema tu Kaka msomi au dada msomi.
Elimu pana ya sheria sio elimu pana ya kila sekta. Nyie mnajua sheria ya mgonjwa anapoingia hopsitali hadi anatoka, awe mzima au amekufa. Lakini hamjui kumtibu mtu......sasa elimu pana iko wapi?Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Huwa naona kwenye madocument yao, utakuta wameandika Moto wa Volcan will be represented by a learned brother xxxxxKumbe hadi mamtoni huwa wanaitana hivyo
Learned AdvocateMwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
Elimu pana ya sheria sio elimu pana ya kila sekta. Nyie mnajua sheria ya mgonjwa anapoingia hopsitali hadi anatoka, awe mzima au amekufa. Lakini hamjui kumtibu mtu......sasa elimu pana iko wapi?
Vivo hivyo kwa mkulima, mwanasiasa, engineer n.k kwa sababu kila sehemu inaongozwa na sheria.
Kwahiyo mnachokijua ni taratibu (sheria ) za kila sehemu lakini sio namna ya kufanya kila sehemu. Mbona mkiumwa jino mnaenda kwa daktari?
Hivi mwanasheria amewahi kuvumbua nini? Mimi naheshimu sana wavumbuzi hawanasheria hata wasipokuwepo dunia itasonga vizuri.Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Uongo huu! Sorry. Mwanasheria unaweza kudadavua schrodinger equation?Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Na waalimu je? Si nao wanasoma kila siku?Kusoma kila siku, hawa wanasoma kila siku
Soma vizuri ndiyo unijibu.Uongo huu! Sorry. Mwanasheria unaweza kudadavua schrodinger equation?
Ni utaratibu tu ambao watu wa aina fulani hutaka kujitofautisha na wengine, mfano wanasiasa wao wakaona waje na neno Muheshimiwa, yaani hapa mimi huwa napatwa na hasira kutamka hilo neno kwa baadhi ya viongozi yaani unakuta kiongozi hakuna chochote anachofanyia wananchi lakin bado anataka aitwe muheshimiwa mbunge au diwan.
Hivi mwanasheria amewahi kuvumbua nini? Mimi naheshimu sana wavumbuzi hawanasheria hata wasipokuwepo dunia itasonga vizuri.
Kwa mfano umesoma sheria gani?Nimesema tunajua sheria za taaluma nyingine na siyo utaalam.
Elewa kwanza kabla ya kujibu
Hawafikii Mawakili, Hukumu za mahakama ya rufaa/Mahakama kuu zinatoka kila siku na zinaweka misingi ya kisheria mipya na unatakiwa ujueNa waalimu je? Si nao wanasoma kila siku?