Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

Aaaah mkuu, nioe kisa kupikiwa ???
Japo wanawake wa Zanzibar ni very loyal khaa!
Sijui ni dini au wanafundwaje aisee, mbona wako tofauti na huku Bara ??
Njoo tukupatie dada umtunze... oa ule kwako. Wenzio tunakula hivyo kila leo yenye uhai
 
Njoo tukupatie dada umtunze... oa ule kwako. Wenzio tunakula hivyo kila leo yenye uhai
Aaaah ninyi mna kasumba ya kubagua sisi Wakristo, tena mkisikia ni kutoka Bara.
Nasema hivi kwasababu yalishawahi kunikuta huko kwenu mkuu....
 
Reactions: amu
Mk MKUU hapo Ni Mapishi yako tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…