Hivi kwanini wadada wengi wanaganda baada ya pesa kuwepo?

Hivi kwanini wadada wengi wanaganda baada ya pesa kuwepo?

Fursa hii.....
Wewe utanishinda mapema mkuu, maana kilichokuvuta kipo clear ,ingawa wengne wanapenda tu kuwa na mwanaume mwenye kwa sababu ya security tu, ila hakuna kuchunana, je we upo kundi gani? Wa kuzitafuna au kwa ajili ya security?
 
Kwa nn mtu kama huyo asikushauri ili uwe wa kufanana naye??? Yaani upambane npaka utoboe ndo wanapanga foleni eti wana mapenzi khaaa
inawezekana kuna mwengine ameshhawahi kabla yako, na ana ambition ya kuonekana kua mambo yake yatakua mazuri, ila imetokea bahati mbaya pengine amefeli lkwa namna moja au nyengine
 
7f3d8cba0f90f929990525766a8ab01c.jpg
 
Ukiwaburuza ukawaacha itakuongezea nini zaidi ya kujishushia thamani na heshima uliyoijenga? Wachunie tu,they are not worth it!
 
Mwisho wa siku wao hawana cha kupoteza maana wengi wao wamekataa tamaa ya maisha na wanaishi kwa dili dili za mjini, ila mimi itanigharimu na nyota ya ukimwi + vimagonjwa uchwara,
Tumia ndomu mkuu usiende kavu, au mpime ngoma kbs km unatakakuenjoy zaidi game.
 
Wewe utanishinda mapema mkuu, maana kilichokuvuta kipo clear ,ingawa wengne wanapenda tu kuwa na mwanaume mwenye kwa sababu ya security tu, ila hakuna kuchunana, je we upo kundi gani? Wa kuzitafuna au kwa ajili ya security?
Kuchuna tu baby security ya nini mie mwenyewe Bruce Lee
 
watafune wote mkuu lakini huku ukiendelea kumsubiri yule ulopangiwa na Mungu, ni dhambi kwa mwanaume kukataa mbunye mkuu.
 
watafune wote mkuu lakini huku ukiendelea kumsubiri yule ulopangiwa na Mungu, ni dhambi kwa mwanaume kukataa mbunye mkuu.
Tatizo wanataka kula pesa kweli kweli, dizani unaweza mwita sehemu wakaja wattu wanaagiza vitu hadi watamani kuwakataa, sema ndo wanaume tumeumbwa mateso tu
 
Acha hizo ww, hujui uwezo wa watanzania wengi ni mdgo ,, mwache akae na mtu anayempenda bana
NIMEKUSOMA MKUU, LAKINI IKIFIKA MUDA WA MAJUKUMU JUA UNAHUSIKA, FAMILIA NYINGI WAJOMBA NDIO WAMEGEUKA BABA, KUSOMESHA, KUVALISHA NA KULISHA
 
NIMEKUSOMA MKUU, LAKINI IKIFIKA MUDA WA MAJUKUMU JUA UNAHUSIKA, FAMILIA NYINGI WAJOMBA NDIO WAMEGEUKA BABA, KUSOMESHA, KUVALISHA NA KULISHA
Kwakweli, na usipohudumia wajomba utapata lawama hizo
 
Kwakweli, na usipohudumia wajomba utapata lawama hizo
IFIKE WAKATI TUWAPUNGUZIE WAJOMBA MAJUKUMU, DADA ZETU JAMANI MKIOLEWA UNPOPATA MTOTO ANZA KUSAVE KIDOGO KIDOGO, MTOTO AKIFIKA UMRI WA SHULE ATLEAST UNA UWEZO HATA WA KUNUNUA KITU KIDOGO ILI MJOMBA AKISAIDIA IWE NI SUPPORT TU, SIO KUMUACHIA MAJUKUMU MAZIMA NA UNAKUTA BABA MTU YUPO HAJIELEWI ELEWI,
 
Kuburuza inashusha thamani??? Mbona hii siijui??
Ukizoea kugonga wanawake ovyo ndio utaelewa heshima yako inavyoshuka kutokana na hilo. Wasio familiar na hiyo kitu huwa wanaonavni urijali ila ukiwa na uwezo wa kutoka na class fulani halafu ukamix class za wanawake waliochoka ndio utaelewa what it means. Au hukusema wamejichokea na sasa uko juu?
 
Pesa kwa mwanamke ni sawa na sisimizi. Sisimizi hata sukari uifiche wapi wataifikia tu. Uwe na pesa vaa kandabili kila siku na kaptura wanawake watainusa tu
 
Back
Top Bottom