Hivi kwanini wadada wengi wanaganda baada ya pesa kuwepo?

Hivi kwanini wadada wengi wanaganda baada ya pesa kuwepo?

kila kitu na wakati wake, zamani ulikuwa wakati wake kutoswa na hali ngumu kiuchumi. sasa hivi ni wakati wa kushobokewa na halo nzuri kiuchumi.
hill ni swala la kawaida ukizingatia mabadiliko ya wakati na mazingira.
 
Ulikua Aupo Hendisamu Na Auna Pesa Wanakuona Sio " Dili" Sasa Walau Unacho Kimoja "Pesa" Atleast Wanaona Kuna " unafuu" Kubal Yaishe. Waliona Kwako Dhiki Tupuu!!! Hivi Dunian Kuna Anaependa Dhiki? Labda Kwa Kuvumilia Ukijua Ukomo Waja!!! Ila Mwanamke Akikupenda Kakupenda!!!
Nakubaliana na wewe kabisa kama mwanamke kakupenda ndio basi tena haina haja ya pesa wala chochote..
Wewe utakuwa unasikilizia vilio kwa wenzako vya mizinga ya ukweli mpaka wanazima simu
 
Back
Top Bottom