Acha hizo ww, hujui uwezo wa watanzania wengi ni mdgo ,, mwache akae na mtu anayempenda banahata dada yangu sitaki aende kwa mtu ambae pesa kwake ni mgogoro
Zana muhimu, wadada wenyewe hawa wa digital hawahaminiki kabisaVizuri ila usisahau zana 😀
Roho inauma sana kurudi kwa mtu aliyekubania kisa ukapuku , sijui huwa hawajui maisha yanabadikikaUmenikumbusha mwaka jana mwezi wa 9 nilitongoza na 10 nikatongoza mwingine wakaniwekea ngumu kwa kuwa mambo yangu hayakuwa vizur sasa juzi hapa napokea simu tena zimepishana siku moja wote wakiniambia ombi lako limekubaliwa sasa mm nimebaki nashangaa tu hawa watu mawasiliano nilipotezana nao, wameona mambo yangu yapo poa wanaanza usumbufu wa simu zisizoisha. Na Mimi ni kufumba macho na kuendelea na maisha yangu ya kutafuta zaidi
Nia yako ilikua ni hii,,, wala hukuhitaji uahauri bt ulikuwa unatoa taharifa....Kweli mwanaume kazi, ngoja niwaburuze tu maana wamejileta wenyewe.
Hakuna shida kwan wewe huwa unakumbukaga mateso yote ya nyuma? Acha hzo bhana wapende loooohSasa utampendaje mtu aliekukataa kipindi unapambana???
Enzi zile ulitoka na kamwambie walisema una domo,hivi leo handsome,by nay mapenzi pesaUlikua Aupo Hendisamu Na Auna Pesa Wanakuona Sio " Dili" Sasa Walau Unacho Kimoja "Pesa" Atleast Wanaona Kuna " unafuu" Kubal Yaishe. Waliona Kwako Dhiki Tupuu!!! Hivi Dunian Kuna Anaependa Dhiki? Labda Kwa Kuvumilia Ukijua Ukomo Waja!!! Ila Mwanamke Akikupenda Kakupenda!!!
Na ajue mwanamke hakomolewiMimi nakushauri ufikirie jinsi ya kuwa mjasiliamali tu mkuu,ukiplan kuwakomoa utaishia kulia ww. Magonjwa mengi siku hizi.
Wapi hiyo mkuu, maana huku wadau wa hyo kitu ni wengiMkuu nipm nikuelekeze bar yenye watoto wakaliiiiiii
Suala la kukumbuka mateso yote niliyopitia kwangu ni kawaida sana, kwni ndiyo yaliyonifikisha hapaHakuna shida kwan wewe huwa unakumbukaga mateso yote ya nyuma? Acha hzo bhana wapende looooh
Ushauri mzuri unaendana na hali halisiAcha mawazo ya kimaskini, tafuta hela zaidi. .
Ukiwaburuza, ukishakojoa tu hamna kipya tena
Sitojaribu kushindana maana pesa zenyewe hizi kama shetani, hazikai zinaweza kuyeyuka gaflaSikushauri uwakomoe maana utachoka tu" usipende kushindana na ulikotokea
Na nilitaka jibu hilo ili ukumbuke ulivyowapenda na uwapende tu hata leo hakuna namnaSuala la kukumbuka mateso yote niliyopitia kwangu ni kawaida sana, kwni ndiyo yaliyonifikisha hapa
Nimeamua kuacha nia ovu sasa najianda kufanya mambo mengne kwani hawa watu hawakomoleki, ukijifanya kuwakomoa utaumia weweNia yako ilikua ni hii,,, wala hukuhitaji uahauri bt ulikuwa unatoa taharifa....