- Thread starter
- #41
Ndo wakati wake huu wa kupata jibu stahikiSwali hilo tangu enzi halijapata jibu....
Ndo wakati wake huu wa kupata jibu stahikiSwali hilo tangu enzi halijapata jibu....
I note ur point mkuu.Girls used to diss me.Now they write letters cause they miss me - Notorious B.I.G (Juicy).
Magonjwa na umasikini juu, ngoja nibaki na eliza wangu anatosha.Mimi nakushauri ufikirie jinsi ya kuwa mjasiliamali tu mkuu,ukiplan kuwakomoa utaishia kulia ww. Magonjwa mengi siku hizi.
Tulidhani tukikua tutaona magorofa kumbe dunia ina mengiKuwa uyaone
Pesa ndiyo dawa yao??? Dushe je?Punguza hasira mkuu hao ndio wanawake na pesa ndiyo dawa yao
Hahahahah acha utani kabisa, kuwapenda tena siwezi labda niweke saini yangu halafu niondoke kimya kimyaNa nilitaka jibu hilo ili ukumbuke ulivyowapenda na uwapende tu hata leo hakuna namna
Dushe lingekuwa dawa wangeanza kunidandia tokea enzi hizo, sema hawa watu sijui wamechanjiwa hela?Pesa ndiyo dawa yao??? Dushe je?
cjawah sikia kama kuna mtu anachukia pesaNakumbuka enzi nipo kijana mdogo nilikuwa napenda sana kuwa na wasichana wa jirani, shuleni, kanisani nk, ila wengi walikuwa wananitolea nje ila kwa sasa baada ya wao kuona mambo yangu yapo safi wanaanza kujitongozesha kwangu,wengine wanauliza mbona siku hizi upo kimya sana?
Mara mpaka nikupigie mimi tu we unipigii? Wengine wanasema tutafutane bwana, wengine wanataka hadi kunitembelea nilipo, na mimi kwa upande wangu kama huwa nina msimamo mkali dhidi ya watu wote walionikataa kipindi nina hali ngumu, huwa sitaki kuwaona kwenye ufalme wangu.
Na wengi wao wanatamani eti niwaoe sasa hivi, hivi huwa mnashikwa na nini kipindi tunawatongoza? Je hao mapedeshee walikuwa wanatafuna mzigo wakati unawaringia vijana wenzako huwa wanaishia wapi?
Nimejitafakari sijui nilipize kisasi kwa kuwaburuza halafu niwatupilie mbali? Au nyie huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
Kuna mmoja ambaye nilikuwa najiachia kwake akaja kunimwaga baada ya kupata kajamaa kanampa pesa kwa sasa hivi eti anadai pensheni kwa kunifadhili papuchi ya bure enzi nikiwa kapuku na bwana wake mwenye pesa alikuwa amejiegesha tu kashamwaga sasa anataka kurudisha majeshi, hivi hii pesa ina sumaku?
Umeamua vema,,,Nimeamua kuacha nia ovu sasa najianda kufanya mambo mengne kwani hawa watu hawakomoleki, ukijifanya kuwakomoa utaumia wewe
Haaah usithubutu nakwambie ka ni hivyo achana nao kimyakimya kwan hawa viumbe ni hatar mkuuHahahahah acha utani kabisa, kuwapenda tena siwezi labda niweke saini yangu halafu niondoke kimya kimya
Hatari yao ni nini mkuu, mbona wanitisha??Haaah usithubutu nakwambie ka ni hivyo achana nao kimyakimya kwan hawa viumbe ni hatar mkuu
Hata kama wanapenda pesa ila sio kwa mtu uliyemtesa kipindi ana hali ngumu, waache kubeza watu bana alaaa!!cjawah sikia kama kuna mtu anachukia pesa
Ni hv, omba Mungu ukute hawana nyongeza ya cel mpya kwenye damu zao maana utabaki ukifikir umetumbua majipu kumbe umetumbuliwa wewe. Loooih sikufahamu but naomba uchukue tahadhari.Hatari yao ni nini mkuu, mbona wanitisha??
Kwakweli ngoja niache nia ovu maana wanaweza nipa umasikini na magonjwa ya ajabu ajabu, nijute mileleNi hv, omba Mungu ukute hawana nyongeza ya cel mpya kwenye damu zao maana utabaki ukifikir umetumbua majipu kumbe umetumbuliwa wewe. Loooih sikufahamu but naomba uchukue tahadhari.
Nimeanza kukupenda bure. Watu wangekuwa wana think positive like you mbona tubgeshakuwa na barabara za angani?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwakweli ngoja niache nia ovu maana wanaweza nipa umasikini na magonjwa ya ajabu ajabu, nijute milele
Ndio ndioPesa ndiyo dawa yao??? Dushe je?
Dushe lingekuwa dawa wangeanza kunidandia tokea enzi hizo, sema hawa watu sijui wamechanjiwa hela?