Hivi kwanini wadada wengi wanaganda baada ya pesa kuwepo?

Hivi kwanini wadada wengi wanaganda baada ya pesa kuwepo?

Sasa hata ukisema ulipize kisasi unamkomoa nani kwa mfano?
Nilikuwa nimepanga kutia saini na kuwaachia maumivi nikagundua nyota ya umasikini na magonjwa itaninyemelea , nimeamua kuwasamehe aisee
 
Mkuu watafune tu
Mwisho wa siku wao hawana cha kupoteza maana wengi wao wamekataa tamaa ya maisha na wanaishi kwa dili dili za mjini, ila mimi itanigharimu na nyota ya ukimwi + vimagonjwa uchwara,
 
Kuwa mbahili tu ndo solution yao mwenyewe na wao mtafurahiana
 
Nilichojifunza duniani hakuna mapenzi zaidi ya usanii, mtu umfanyia usanii ili upate kitu anachohitaji kikiisha unasepa, ukiamua kuoa, usijali sura ila jari kama utamiliki kitu ambacho akina shombo wala gharama za mara kwa mara. Tumeambiwa wame tuwapende wake zetu na wanawake wameambiwa wawaheshimu wame zao. Hapa mwanamke ajaambiwa ampende mumewe bali kumweshimu, maana mwanamke kuamua kuolewa aidha anakimbizana na umri, au kwao wanamsumbua wanamwona kama ana mkosi, au huwa anakaa anajisikia sana kuninginiza kitu ndani hivyo asije onekana malaya uamua kuolewa ili aukeshee. Hawa wa dizaini hii huwa wakishaolewa upendo uwaonyesha watoto wao , wewe ubaki kueheshimiwa tu.
 
Sio kwa stahili hiyo, yaani umlete mwenzako mauzauza kipindi yupo kwenye kupambana halafu anafanikiwa ndo unamtamani??
usiwalaumu wanawake, huwezi kumpenda mtu ambaye hana muelekeo wowote? May be zamani mko kidato mnasoma, unamfata girls na akikuangalia mtoro shuleni, marks zenyewe unapata namba za viatu, sasa unafkiri atakupenda na anajua huna muelekeo? Baadae akili yako inakaa sawa ndio inastahiki akufate
 
Sisimiz huwa wapo ika kwenye tone la sukari huwa wanakimbilia wengi na wengine huwa wanafia kabisa hapo mkuu. Uchaguz ni wako
 
usiwalaumu wanawake, huwezi kumpenda mtu ambaye hana muelekeo wowote? May be zamani mko kidato mnasoma, unamfata girls na akikuangalia mtoro shuleni, marks zenyewe unapata namba za viatu, sasa unafkiri atakupenda na anajua huna muelekeo? Baadae akili yako inakaa sawa ndio inastahiki akufate
Kwa nn mtu kama huyo asikushauri ili uwe wa kufanana naye??? Yaani upambane npaka utoboe ndo wanapanga foleni eti wana mapenzi khaaa
 
Back
Top Bottom