usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 327
Bwana awee nanyiiiiiiiii
Awe piaaaaa naweeeee
Inueni mioyoooooo..
Mikoa zaidi ya sita nimeishi lakini sauti za mapadre wetu zina fanana je....na.muasisi wa hii sauti...na nini umuhimu wake?View attachment VID_20181014_071523.mp4