Hivi kwanini sauti za Mapadri kuendesha ibada zina fanana?

Huna uhakikia na kile unakijua, Jesuit hawako kama vil e unavyojua, Kama ni msaomaji kaendelee kusoma kabla hujaja hapa, NB kasome kutoka kwenye literature zenye credible source na sio kutulea clip ushwara za wapinga Kristo wa kisabato na masalia
Unataka credible sources zipi,sema nikuletee.
 
Back
Top Bottom