Hivi kwanini sauti za Mapadri kuendesha ibada zina fanana?

Ni mafunzo kamili wapatayo.Nidhamu,utii,heshima,uchaji wa Mungu na upole viwe mstarini.Ni mfumo waliojiwekea.
SWALI LA KIZUSHI:
Mbona wachungaji wa madhehebu mengine huhubiri kwa sauti zinazofanana na kukwaruzakwaruza na hutumia nguvu na leso mikononi?
Mtatafuta all possible reasons za kuhalalisha an ovious satanic intentional immitation for the purpose of exposing the unsuspecting congregation to demonic attacks!A Roman Catholic Mass has so many satanic rituals and a genuine believer in the God of Jacob will admit that,it"s so obvious.
 
Hayo maneno yameandikwa kwa Notation. So kila padre lazima ajue kuimba vile vile.
 
Bwana awee nanyiiiiiiiii
Awe piaaaaa naweeeee

Inueni mioyoooooo..

Mikoa zaidi ya sita nimeishi lakini sauti za mapadre wetu zina fanana je....na.muasisi wa hii sauti...na nini umuhimu wake?View attachment 897499
Mimi sio mkotoliki ila nikiwa na mda naendaga kusikiliza hiyo sauti/tune yao inanifurahisha sana naona kama Usani fulani baba mzima kuabadilisha sauti kutimiza lengo la ibada.
 
basi sisi wakatoliki wote tunasali sala za mashetani na lazima tuchomwe moto. Shangilieni nyinyi watakatifuuuu.
Mkuu mnajua,tunachojaribu kufanya ni kuwafanya muone kwamba mnapotezwa,na kama kweli mna nia ya kwenda mbinguni,mnapaswa kutoka huko,mnadanganywa.Wenzenu wana nia ovu kabisa ya kuwapeleka jehanamu.Hebu angalia clip ifuatayo,labda itakusaidia kuuona ukweli.Hatuna nia mbaya kabisa mkuu,nia yetu ni njema 100%!

Bwana awee nanyiiiiiiiii
Awe piaaaaa naweeeee

Inueni mioyoooooo..

Mikoa zaidi ya sita nimeishi lakini sauti za mapadre wetu zina fanana je....na.muasisi wa hii sauti...na nini umuhimu wake?View attachment 897499
Hata waimba bongofleva,wengi sauti zinafanana,ukimsikiliza,Diamond,Harmonize,Neddy ,unaweza usijue yupi ni yupi,kitu cha kawaida tu,
Miaka kadhaa iliyopita,kuna wasanii wa kizazi kipya,walikuwa wanaiga jinsi Mr blue anavyoongea,kipindi hicho bado Diamond hajatoka,
Sasa HV,vijana wanaiga uvaaji,mpaka uimbaji wake diamond.
Kuhusu mapadre,ni utaratibu tu walijiwekea kama kanisa,kwamba watamke maneno namna hiyo.
Ukitaka kila kitu tufanye kama ilivyo kwenye bible,
Hebu niambie ni sehemu gani ktk bible,mitume wwnatumia smart phone,na mitandao ya kijamii?
 
Bwana awee nanyiiiiiiiii
Awe piaaaaa naweeeee

Inueni mioyoooooo..

Mikoa zaidi ya sita nimeishi lakini sauti za mapadre wetu zina fanana je....na.muasisi wa hii sauti...na nini umuhimu wake?View attachment 897499
Kwa sababu mvinyo wanaotumia ni wa aina moja pia,sometimes wakizidisha unaqeza shtukia tofauti hasa kwenye ibada za misiba huwa wanazidsha
 
Kadhalika jiulize sauti za wanaoongoza parade mbele ya viongozi wa nchi kwanini zafanana
 
Wakuu naomba ufafanuzi hyo askofu alieshika fuvu naomba kujifunza ni fuvu la nani na je kuna historia ya kuhifadhi mii li ya viongozi wa kikatoliki?
 
Mtatafuta all possible reasons za kuhalalisha an ovious satanic intentional immitation for the purpose of exposing the unsuspecting congregation to demonic attacks!A Roman Catholic Mass has so many satanic rituals and a genuine believer in the God of Jacob will admit that,it"s so obvious.
Mmeshindwa kwenye sanamu na mengineyo mmehamia kwenye sauti!Pambaneni na yenu.
HALAFU:
Siku ingine chagua lugha moja ya kutumia ueleweke.Usiungeunge lugha mseto.
 
hizo ni tamaduni tu za kuongoza ibada. mbona wachungaji wa makanisa ya kilokole wanamasauti ya kufoka? yan awe mdogo, awe mnene, mwembamba nk wote sawa. labda nawaza ni jinsi ya kuwatisha watu au nini?
 
Mmeshindwa kwenye sanamu na mengineyo mmehamia kwenye sauti!Pambaneni na yenu.
HALAFU:
Siku ingine chagua lugha moja ya kutumia ueleweke.Usiungeunge lugha mseto.
Kinachotakiwa ni wewe kuelewa ninachosema.Kama naona naweza kujieleza vizuri zaidi kwa Kingereza maeneo mengine, nitafanya hivyo,mbona hakuna sheria inayonizuia?
 
Mkuu mnajua,tunachojaribu kufanya ni kuwafanya muone kwamba mnapotezwa,na kama kweli mna nia ya kwenda mbinguni,mnapaswa kutoka huko,mnadanganywa.Wenzenu wana nia ovu kabisa ya kuwapeleka jehanamu.Hebu angalia clip ifuatayo,labda itakusaidia kuuona ukweli.Hatuna nia mbaya kabisa mkuu,nia yetu ni njema 100%!

Haya, Mimi nimechagua moto acha niendelee kuwa mkatoliki.
 
Back
Top Bottom