Hivi kwanini sauti za Mapadri kuendesha ibada zina fanana?

Bwana awee nanyiiiiiiiii
Awe piaaaaa naweeeee

Inueni mioyoooooo..

Mikoa zaidi ya sita nimeishi lakini sauti za mapadre wetu zina fanana je....na.muasisi wa hii sauti...na nini umuhimu wake?View attachment 897499
Asili yake ni melodi za mtakatifu Gregory kupitia muziki wa GREGORIANT CHANT,NI MELODI ZA KANISA KATOLIKI SINCE MEDIEVER PERIOD. POPOTE DUNIANI
 
Ni swali zuri sana,ila naona kama limekaa kimtego mtego hivi.Unajua,Shetani ni mjanja sana.Yeye huwa akitaka kukushambulia anatengeneza kaufa tu,wala hahitaji mlango, ili kuweza kukushambulia.Shetani ukishaiga kitu chake tu,anajua you are weak spiritually,he attacks you!Haka ni kaufa!Nyufa hizi huwa zina tu cost sana.Ibada za underground societies zinatumia sauti za hivyo,na kwa Waroma si ajabu sana,maana Ujesuit ndio msingi wa Kanisa la Roma.Kumbuka kwamba Pope Francis ni Mjesuit.Sikiliza hizi ibada mbili za Kishetani,jibu utalipata!

basi sisi wakatoliki wote tunasali sala za mashetani na lazima tuchomwe moto. Shangilieni nyinyi watakatifuuuu.
 
Najivunia kuzaliwa na kukua nikiwa Mkatoliki, kanisa LA mitume.. Nakula kwaya hapa taraatiiibu huku nasoma watu wanavyotoka povu humu.
Kwann mnachonga vinyago na kuvisujudia?

Kwanini mnafanya ibada za wafu, na mifupa ya watu wakale?

Why roman catholic imejaa na bado inaendeleza upagani wa roman empire?

tapatalk_1539236586684.jpeg
 
Ndo mafundisho yalivyo, upole na unyenyekevu kwenye kuwaza, kusema, kutenda na kutekeleza wajibu. TUMSIFU YESU KRISTU
 
Asante sana
Ur a big thinker
Ni swali zuri sana,ila naona kama limekaa kimtego mtego hivi.Unajua,Shetani ni mjanja sana.Yeye huwa akitaka kukushambulia anatengeneza kaufa tu,wala hahitaji mlango, ili kuweza kukushambulia.Shetani ukishaiga kitu chake tu,anajua you are weak spiritually,he attacks you!Haka ni kaufa!Nyufa hizi huwa zina tu cost sana.Ibada za underground societies zinatumia sauti za hivyo,na kwa Waroma si ajabu sana,maana Ujesuit ndio msingi wa Kanisa la Roma.Kumbuka kwamba Pope Francis ni Mjesuit.Sikiliza hizi ibada mbili za Kishetani,jibu utalipata!

Ukitaka jibu la kwenye mzizi, vuka upande mwingine - waulize machangu wa kisiasa kwa nini wote wanatangaza KUJIUZURU badala ya KUJIUZULU.
 
Hiyo ni mapokeo mkuu tokea enzi na enzi za kuanzishwa kwa kanisa.

Ila unaonekana umeenda kanisani mara ya mwisho miaka imepita sasa au sio mkatoliki.

Maana "Bwana awe nanyi" haiitikiwi tena kama ulivyoainisha hapo juu.

Wazee wa matutina mpo?
 
Ni mafunzo kamili wapatayo.Nidhamu,utii,heshima,uchaji wa Mungu na upole viwe mstarini.Ni mfumo waliojiwekea.
SWALI LA KIZUSHI:
Mbona wachungaji wa madhehebu mengine huhubiri kwa sauti zinazofanana na kukwaruzakwaruza na hutumia nguvu na leso mikononi?
 
Back
Top Bottom