min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,715
- 131,862
Sio sote sema wewe na baadhi ya kondoo .Kwa sababu sisi ni viumbe wake na ametuumba kwa mfano wake. Sisi sote ni wa kwake inapokuja kutokea hatumtii na kumfuata lazima kuna ambaye ni tofauti na yeye tunamfuata hapo ndipo wivu hutokea kwa sababu yumeumbwa ili tumfuate yeye Muumba.