Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Hivi kwanini Mungu ana wivu?

still research zinaendelea na meaning of scince ni continues/cycle mtu anapoona gap ndipo anapo anzia.

watu walifanya reseach ya mungu hawakumuona,zimebakia imaginations and stories.
Nafikiri tumeanza kuelewana, mimi kwenye maswala ya kujifunza huwa ni mweupe sana.

Hivyo huwezi kuhitimisha na kukataa kitu ambacho huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Tofauti na hapo sema hivi kulingana na utafiti wa sayansi bado haujathibitisha uwepo wa Mungu.
 
Iko hivi mkuu mimi naipenda sayansi na ninaijua kiasi chake, mapungufu ya sayansi ni kwamba bado kuna vitu vingi haijavigundua.

Hivyo, sayansi haiwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu ila haikubaliani na uwepo wake lakini weka kwenye akili kwamba science sio absolute ni bado ina safari ndefu ya kugundua vitu vingi.
Huyu Mungu anaesubiria mpka sayansi imvumbue ana tofauti gani na baadhi ya bacteria?
 
Ni sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.

Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
We jamaa ni mtu wa Tanga sindioo
 
Kwa hiyo kwa mfano, Ukitaka kuuliza jina la mtu fulani unaweza kutumia "Wewe unaitwa nini?

Kwa vile hakuna limits?

Na Ukitaka kuuliza kitu fulani unaweza kutumia, " wewe ni nani hicho?
Naona bado haujanielewa.Hayo yote unayoyazungumza yapo katika frame/dimensions za mwanadamu. Kwamba kwa sasa unajua kuna watu na vitu. Lakini yule aliyekuumba kwenye dimensions zake kuna options zingine nyingi sana ila alichagua options hizo kwako. Sasa hauwezi kukomaa kumhoji kwa akili na uelewa wako!
 
kwani tabia yako na mungu zinafanana?
1q
Kuna sifa ambazo Mungu ametupatia wanadamu ambapo kiuhalisia ni sifa zake ila sifa zetu haziwezi kuendana sawa na ukubwa wa sifa zake.

Mfano sifa ya upole..hii sifa ni ya Mungu ila upole wetu hauufikii upole wa Mungu.

Sifa ya ukarimu ni sifa ya Mungu ila ukarimu wetu si sawa na ukarimu wake. Hakuna mkarimu kumzidi Mungu ndio maana huwapa hata wale wanaomtukana,kumuasi ,kumkejeli na kumkana.

Sifa ya kuona na kusikia ni sifa za Mungu ambazo ametugawia pia wanadamu ila kuona na kusikia kwa Mungu ni kukubwa kuliko kwetu.

Vilevile sifa ya wivu ni sifa ya Mungu ambayo ametugawia kidogo wanadamu ila wivu wetu hauwezi kufikia ukubwa wa wivu wa Mungu.

Mungu anawivu sana kuliko yeyote yule ndio maana hataki aabudiwe pamoja naye mungu/miungu mingine. Kifupi ni kuwa hataki kushirikishwa katika ibada zake.

Ukimuomba (mungu/miungu) mwingine badala /pamoja nae (MUNGU) basi jua umemuudhi sana Mungu.

Na kutokana na huu wivu ndio maana akaweka adhabu kali ya moto wa jahannam kwa wale wote watakaokufa hali ya kuwa ni Washirikina..

Mfano tu una mfanyakazi wako umemuajiri anakufanyia kazi, ila ikifika jioni pesa za mauzo zote anaenda kumpelekea mtu mwingine badala yako...Je utajisikiaje? Utakavyojisikia basi jua Mungu anaghadhibika zaidi kwa wale wanaomshirikisha katika ibada zake.

Au

Unazaa mtoto na mke wako na kumlea ila yule mtoto akikua anakwenda kumuita baba mtu mwingine badala yako..je utajisikiaje?
 
Nafikiri tumeanza kuelewana, mimi kwenye maswala ya kujifunza huwa ni mweupe sana.

Hivyo huwezi kuhitimisha na kukataa kitu ambacho huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Tofauti na hapo sema hivi kulingana na utafiti wa sayansi bado haujathibitisha uwepo wa Mungu.
ndiyo hicho hakipo sababu hakijaonekana.

tunaelewana kitu gani mimi na wewe?

jaribu kutambua kuna kitu kinaitwa science ambapo kiini chake ni research na kuna kitu kinaitwa dini ambapo kiini chake ni imani.
 
Ni sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.

Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Mkuu jibu gumu hiloo
 
Sio Biden au Trump tu, hata ndege kuku pundamilia n.k wote ni wahusika katika maisha yangu! Wote ni viumbe hai! Na muumbaji ni mmoja.Who is Biden? Eti anko sijui mjomba! Nani aliyeset hizo limits? Ndiyo maana nasema huwezi kumuelewa au kuelewa akili za Mungu kwa dimensions za akili za kibinadamu ambazo ziko limited! HAIWEZEKANI!
Mkuu Tatizo umejibu swali ambalo sijauliza na umechanganya Mindset yangu na watu wengine uliofanya nao Conversation kwenye Mada hii..

Na umeshindwa kujua Why Nimekuuliza kuhusu swali dogo la Biden au Trump (Ni watu wanaofahamika Duniani)..

Umetaja Ibrahimu na ukasema umetokanaa na ibrahimu..nikajibu ibrahimu Hajatokana na watu wa kushi wala Tanzania..

So Narudi kwenye Swali lako (Mimi naongea Taratibu sana ila Wewe unapiga Kelele na kufoka kwanini wote tusiongee taratibu 😃😃)

Kuhusu Uumbaji Kuna Hadithi tofaufi za uumbaji Inategemea na Imani na Taifa ulilotoka..

Only Hadithi au Imani ya Ibrahimic Religion ndo inaanza kwa Adamu and Hawa ila ukienda kwa Imani zingine tofauti na Ibrahimic Faith kuna Aina nyingine ya Hadithi za uumbaji na wao pia wanaamini ziko Sahihi..

Sijui umenielewa?
 
Mleta mada na wanadamu wengine ni sawa na toy ambaye umemtengeneza ukampatia ka toygun ya kuchezea ukamfungia kwenye kachumba ndani, umetoka umerudi unakuta kanakuvimbia na toygun kwamba sasa akili yake ni kama yako na anajua kila kitu 😄 kumbe hakajawahi hata kuvuka mlango wa chumba chake😄
 
Huyu Mungu anaesubiria mpka sayansi imvumbue ana tofauti gani na baadhi ya bacteria?
Sayansi ikimvumbua MUNGU, hatakuwa MUNGU tena. Sayansi itajiuliza swali jingine litakalosababisha kuendelea kumtafuta MUNGU naye akivumbuliwa itakuwa hivyo hivyo, game itaenda to infinity. Unadhani kwanini sayansi haiamini katika MUNGU?
 
Hapa ndo mnapofeli.

Ukishaambiwa kiroho au kiimani ujue hakuna kemikali za kuchanganya hapo ili patokee reaction.

Kuna mawazo, fikra, faith, dreams, thoughts na mambo yanayofanana na hayo na haya mambo yana impact ya moja kwa moja kama ambavyo unavyokojoa kitandani kwa kuona choo ndotoni.

Kwanza hilo lieleweke halafu ndo mambo ya uthibitisho yafuate.
Umetaja fikra , faith na dreams mkuu wewe ni mjanja sana, ndio maana kila siku nakuambieni Mungu ni nadharia iliyo kichwani kwa muumini tu, ndio maana kamwe binadamu hawataweza kuwa na imani moja kuhusu Mungu ,kwa sababu kila mtu ana nadharia yake kutoka kwenye utamaduni wake na mapokea kama athari ya ukoloni.
 
ndiyo hicho hakipo sababu hakijaonekana.

tunaelewana kitu gani mimi na wewe?

jaribu kutambua kuna kitu kinaitwa science ambapo kiini chake ni research na kuna kitu kinaitwa dini ambapo kiini chake ni imani.
Kati ya hivyo viwili kuna kweli ndani yake, ambapo huo ukweli hauna misingi ya dini wala science. huo nimekwambia havihusiani na dini hata kidogo kwanza mm sio mtu wa dini ila ni mtu mwenye kiu ya kuijua kweli.
 
Naona bado haujanielewa.Hayo yote unayoyazungumza yapo katika frame/dimensions za mwanadamu.
Kama haya yote tunayo yazungumza yapo katika frame/dimensions za mwanadamu, Wewe unayesema Mungu yupo unatumia frame/dimensions zipi tofauti na za kibinadamu?

Au wewe sio mwanadamu?

Unatumia frame/dimensions zipi tofauti na za kibinadamu kusema Mungu yupo?


Kwamba kwa sasa unajua kuna watu na vitu. Lakini yule aliyekuumba kwenye
Umejuaje na kutumia frame/dimensions zipi tofauti na za kibinadamu kujua kwamba uliumbwa?

Na unathibitishaje?
dimensions zake kuna options zingine nyingi sana ila alichagua options hizo kwako. Sasa hauwezi kukomaa kumhoji kwa akili na uelewa wako!

Aliyesema Mungu yupo alijuaje na kutumia frame dimensions zipi tofauti na za kibinadamu kusema Mungu yupo?

Uthibitisho wa uwepo wa Mungu uko wapi?
 
Ni sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.

Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Irrelevant comparison, muweza yote,nguvu zote na unlimited love unamlinganishaje na mtu.
 
Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.

Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.

Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.

Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?

Je, hajiamini na nguvu zake?

Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?

Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?

Nawasilisha.
Sio kila kilichoandikwa unakiamini..Mungu hawez kuwa na wivu hata sku1..Mungu level ya ukamilifu alishaipita..hawez fanya makosa.ndomana kila unachokiona dunian kiko kama kilivyotakiwa kuwa..ni binadamu ndio tunaharibu hyo balance..ni kumkosea sana Mungu kumpa character za kibinadamu.
 
Back
Top Bottom