min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,766
- 132,018
We wasema😊Ukishasema MUNGU ni...............
Bila kujali kitakachofuata, hapo umeafiki uwepo wake.
We wasema😊Ukishasema MUNGU ni...............
Bila kujali kitakachofuata, hapo umeafiki uwepo wake.
Nilikwambia hivi, chanzo cha mtu ni mtu mwenyewe.Nimekuuliza chanzo cha mtu ni nini?
Sasa na wewe hebu eleza muundo wako wa mtu ulivyo.Hujanijibu.
Nimkuuliza muundo wa mtu ni upi, umesema ni muunganiko wa viungo vya mwili.
Ebu ya jibu kwanza hayo maswali ndipo tutapata majibu ya swali lako.
Nani aliyeweka hizo limits kwamba mtu au kiumbe "nani" kitu "nini" ? Nani aliyekwambia hizo ndizo limits na kwamba hakuna options zingine? Ni dimensions za akili zako ndizo zinakudanganya kwamba kuna nyuma mbele juu na chini tu! Kama unafikiria kwa akili hizo basi unajidanganya mno!Ni nani?
Kwamba unataka awe mtu au kiumbe fulani?
Hili swali lako linafaa liwe Mungu ni nini?
Mungu ni neno la kufikirika tu ambalo kiuhalisia halipo.
Kukubali jambo fulani bila kuwa na uthibitisho.What is imani?
Uhalisia ni nini? Uhalisia ni matokeo ya ulimwengu wa kufikirika.Ndio maana nasema huyo Mungu yupo kwenye mawazo yenu ya kufikirika tu.
Hayupo katika uhalisia.
still research zinaendelea na meaning of scince ni continues/cycle mtu anapoona gap ndipo anapo anzia.Talanta ya ubishi na ujuaji huwa sina mkuu, ok turidi kwenye mada.
Science ni maarifa ambayo yamegundulika na yanaweza kuthibitika.
Je, unafikiri hadi sasa sayansi imegundua kila kitu kinachohusu ulimwengu?
Achukuliwe na nan sasa, wakati kila kitu ni cha mungu mpaka shetani mwenyewe.Anajali na kujupenda kwa kuwa alikuumba ili umtumikie kwanini sasa asiwe na wivu nawe, mfano wewe umpendezeshe mkeo akichukuliwa hutakua na wivu mfano tu
Uthibitisho kwenye nyanja ipi? Ya kisayansi au ya kiroho?Kukubali jambo fulani bila kuwa na uthibitisho.
wivu ni tabia ya kibinadamu sio kwamba mnachosema ni maandiko ya wanadamu ili kuendeleza kutawala?Anajali na kujupenda kwa kuwa alikuumba ili umtumikie kwanini sasa asiwe na wivu nawe, mfano wewe umpendezeshe mkeo akichukuliwa hutakua na wivu mfano tu
Ukiambiwa umeumbwa kwa mfano wake unaelewajenashangaa sana bibilia inavyomuelezea mungu as if binadamu utakuta andiko linasema upon wapi wewe adamu,na adamu akaitika niko hapa mungu wangu.
mda mwengine wanasema mungu alikuwa anatembelea bustani...this is human behaviours
Kiroho yenyewe ina sound kitapeli tu ,thibitisha kiroho.Uthibitisho kwenye nyanja ipi? Ya kisayansi au ya kiroho?
Kwa hiyo kwa mfano, Ukitaka kuuliza jina la mtu fulani unaweza kutumia "Wewe unaitwa nini?Nani aliyeweka hizo limits kwamba mtu au kiumbe "nani" kitu "nini" ? Nani aliyekwambia hizo ndizo limits na kwamba hakuna options zingine? Ni dimensions za akili zako ndizo zinakudanganya kwamba kuna nyuma mbele juu na chini tu! Kama unafikiria kwa akili hizo basi unajidanganya mno!
Sio Biden au Trump tu, hata ndege kuku pundamilia n.k wote ni wahusika katika maisha yangu! Wote ni viumbe hai! Na muumbaji ni mmoja.Who is Biden? Eti anko sijui mjomba! Nani aliyeset hizo limits? Ndiyo maana nasema huwezi kumuelewa au kuelewa akili za Mungu kwa dimensions za akili za kibinadamu ambazo ziko limited! HAIWEZEKANI!Sorry kwa Hili swali..
Je Biden au TRUMP ni Baba Yako au Anko wako???
Iko hivi mkuu mimi naipenda sayansi na ninaijua kiasi chake, mapungufu ya sayansi ni kwamba bado kuna vitu vingi haijavigundua.Nyie mwanadai kuna Mungu sie twasema hayupo, kimatinki kabisa haiwezekani kuthibitisha kitu ambacho hakipo , wanaodai Mungu yupo wathibitishe ili kukanusha madai yetu ya kutokuwepo kwake.
mimi kwanza naamini hatufanani,na inakuwaje nijibu kwa jambo halipo?Ukiambiwa umeumbwa kwa mfano wake unaelewaje
Hapana umekosea. Rudi kafanye utafitiKukubali jambo fulani bila kuwa na uthibitisho.
Hapa ndo mnapofeli.Kiroho yenyewe ina sound kitapeli tu ,thibitisha kiroho.