Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,070
Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu wanaishi kwa amani kwa raha na mustarehe?
Kwa mfano Tanga,lindi na mtwara mpaka saa saa saba hata saa tano usiku unaweza kutembea bila hata kukabwa,kupigwa na kuporwa? Ila sasa nenda mikoa Ile ambao kuna idadi kubwa ya watu wa dini nyingine tembea usiku kama hauyataki maisha yako aisee