Hivi kwanini maafisa uajiri wanajisikia sana?

Hivi kwanini maafisa uajiri wanajisikia sana?

Ungemuuliza muhudumu akuelekeze namna ya kumpata mpitisha tenda.... HR hahusiki na hiyo kazi....
Unachosema ni sawa..lakin sasa niliambiwa kuna kiongozi yuko ndy nikaelekezwa kwak..

Half kama na ww ni Hr ujirekebishe
 
Sikua na miadi nae Bali yy ndy alikuwepo na viongoz wengine hawakuepo..hlf pia hakunikaribisha Bali nilivyoingia tu yy akiwa kitini akaniambia 'kaa hapo'. Sasa kauli kama hii ya nn wakati hapo ni ofisin isitoshe mi ni mteja?
Brother....utakuwa KILA kitu unachukua personal...yaani kuambiwa kaa hapo.umeona umedhalaulika mpaka ukaacha kilichokupeleka...hahahaha...

Sasa siku nyingine usichukue vitu personal. Utapata shida sana.
 
Siyo kila HRO ni boss,

Kuwa HRO ni mgawanyo wa majukumu tu!

Ila kuna watu kwa kule kutojiamini wanawaita boss!

Boss kipivi labda?!
Ni kweli kabisa mkuu mtu anaemuita officer wa kawaida boss hua hajiamini
 
Wakuu Salaam;

Hawa watu wanaosimamia idara ya rasimali watu wanatakiwa watambue kua wao nao ni binadamu kama watu wengine na lazima waheshimu utu wa mtu yeyote achilia mbali hadhi ya huyo mtu.

Hawa Hr's wa kampuni hua na majibu ya hovyo sana wawapo kazini bila kujali anamjibu nani.

Leo nimeenda kuulizia tenda kwaajili ya kuleta mazao fulan kwa hiyo kampuni kwaajili ya kutengeneza vyakula vya kuku, nikaambiwa Hr ndiyo yupo kwa leo, ile kuonana nae tu akaniambia 'kaa hapo'. Kwa hii kauli nilitaka nivue kiatu changu nimzibue nacho nikajizuia. Nikajikaza kukaa dakika 2 nikaondoka zangu bila kumwelezea kwa upana biashara yangu na nia ya kufika kwenye kampuni. Hajajua Mimi nikileta mazao kampuni mwao ndiyo bidhaa zao zikiuzwa wanakuja kulipwa badaye mishahara.

Kufika nje nikamwelezea mfanya kazi mmoja akanishauri nimsubiri Mkurugenzi mwenyewe. Mfanya kazi akanieleza kua kwa saivi wanahitaji mzigo kwani stock inakaribia kuisha.

Huyohuyo mfanyakazi akaniambia hata wakati akiomba kazi na hata wengine pia walipata shida sana kwa huyo HR kusajiliwa.

Sasa nikajiuliza HR kiburi anatoa wapi wakati ilikua ni bahati mbaya tu kumkuta yeye?

Nyie HR specialists na HR managers msione hizo kampuni ni zenu, Bali toeni Huduma kwa jamii kwa weledi na kuheshimu utu wa mtu kwani wote tuko kwenye utafutaji.

Je, wewe binafsi Ulishawahi kukereka na HR kwa lolote?
 
HR wa Temeke idara ya Afya Grace ntangu bana anajisikia bana weee! anawona watu km taka, na alivo cheusi mangala hee! haukupita muda katemwa pyuuu! tuna nenepa sasa. hapa tmk. Ubaya umerudi ulikotoka.
 
Siyo kila HRO ni boss,

Kuwa HRO ni mgawanyo wa majukumu tu!

Ila kuna watu kwa kule kutojiamini wanawaita boss!

Boss kipivi labda?!
Hata mimi huwa nawashangaa watu kwa kutojua mgawanyo wa majukumu na sheria za kazi wanawanyenyekea na wao wanapata kichwa.
Hao MaHR ni wafanyakazi tu kama wafanyakazi wengine
 
Wakuu Salaam;

Hawa watu wanaosimamia idara ya rasimali watu wanatakiwa watambue kua wao nao ni binadamu kama watu wengine na lazima waheshimu utu wa mtu yeyote achilia mbali hadhi ya huyo mtu.

Hawa Hr's wa kampuni hua na majibu ya hovyo sana wawapo kazini bila kujali anamjibu nani.

Leo nimeenda kuulizia tenda kwaajili ya kuleta mazao fulan kwa hiyo kampuni kwaajili ya kutengeneza vyakula vya kuku, nikaambiwa Hr ndiyo yupo kwa leo, ile kuonana nae tu akaniambia 'kaa hapo'. Kwa hii kauli nilitaka nivue kiatu changu nimzibue nacho nikajizuia. Nikajikaza kukaa dakika 2 nikaondoka zangu bila kumwelezea kwa upana biashara yangu na nia ya kufika kwenye kampuni. Hajajua Mimi nikileta mazao kampuni mwao ndiyo bidhaa zao zikiuzwa wanakuja kulipwa badaye mishahara.

Kufika nje nikamwelezea mfanya kazi mmoja akanishauri nimsubiri Mkurugenzi mwenyewe. Mfanya kazi akanieleza kua kwa saivi wanahitaji mzigo kwani stock inakaribia kuisha.

Huyohuyo mfanyakazi akaniambia hata wakati akiomba kazi na hata wengine pia walipata shida sana kwa huyo HR kusajiliwa.

Sasa nikajiuliza HR kiburi anatoa wapi wakati ilikua ni bahati mbaya tu kumkuta yeye?

Nyie HR specialists na HR managers msione hizo kampuni ni zenu, Bali toeni Huduma kwa jamii kwa weledi na kuheshimu utu wa mtu kwani wote tuko kwenye utafutaji.

Je, wewe binafsi Ulishawahi kukereka na HR kwa lolote?
Mkuu mimi hao maHR wakileta nyodo huwa siwacheleweshi nawapa makavu yao live
 
Halafu kuwa HRO ni mgawanyo wa majukumu na siyo kwamba umekuwa boss wa wenzio [emoji108][emoji87]

Msitumie udhaifu wa wafanyakazi wasiojielewa wanaowaita maboss kwa kutojielewa na nyie ndo mkataka kuwapanda vichwa na kuwafanyia mnayotaka kama vile kuwachongea kwa waajiri kwa kuwafanyia majungu mjue mtavuna uovu wenu!
Mimi hata manager kazini kwangu hua simuiti boss labda mkurugenzi tu japo nae hataki tumuite boss anapenda tumuite dada
 
HR mmoja nimeenda kuomba kazi after internship somewhere akadai ohooo we mbona uko vizuri umependeza unadhida na kazi kweli??
 
Back
Top Bottom