Hivi kwanini maafisa uajiri wanajisikia sana?

Mkuu pole lakini sidhani hapo kama ni sababu ya u Hr wake,hiyo ni tabia yake binafsi,Sisi Hr's tunafundishwa communication skills na somo muhimu sana,sio wote wako hivyo.
 
Ulikuwa na miadi naye muda huo?, yaani mtu kukuambia usubiri kidogo basi unaondoka baada ya dakika mbili na kuja kuleta malalamiko hapa?
Sikua na miadi nae Bali yy ndy alikuwepo na viongoz wengine hawakuepo..hlf pia hakunikaribisha Bali nilivyoingia tu yy akiwa kitini akaniambia 'kaa hapo'. Sasa kauli kama hii ya nn wakati hapo ni ofisin isitoshe mi ni mteja?
 
Pole sana ndugu yangu kumkuta huyo changudoa. Kuna makahaba wengine wanaoitwa wahasibu. Hawa makahaba kwa kweli ukiingia ofisini kwao unapata harufu ya papuchi isiyo oshwa. Yaani wanajiona Kama vile hawaendi vyooni. Hasa Kama una madai halali na yamesainiwa Kila mahali ispokua kusaini na kuchukua pesa.
Ulivyoandika inaonyesha hichi kitu kimeshakutokea.

Watu wanasahau kua cheo ni kama koti ulilovishwa na mda wwt unavuliwa tu
 
Binafsi ni mwanafunzi wa kozi ya human resources management
Na kwenye Kila course Kuna ethics zake ikiwamo good communication skills
Kama kawaida yenu..kabla hujaingia kazini mnakua kama watu ila mkishaoewa mamlaka mnanyanyasa raia.

Mnatakiwa mjue vyeo ni vya muda tuu.

Kwann kwenye kampun nzima nyie ndy mnaotajwa kunyanyasa binadam wenzenu?

HIV Mungu aabudiwe na nyie mlilie nafasi hiyohiyo? Haiwezekani, na nyie ni watu bhana.

Watu wanakuja kwenu kuhusu ajira hasa wadada, ni rushwa chafu tu zinatembea, kwann lkin? Ethics zenu zikoje?
Hata wanaume nako ni hivyo ni full dharau. Tatzo nn?

Hiki kitengo kifutwe kabsa na hii kozi iondolewe chuoni mana ethics zinawashinda.

Hamuez tunyima usingiz hapa tz kabsa.

Hii course ifutwe.
 
Shida sio wadhifa wa hao unaowalaumu, shida ni hulka tunaita personality traits za watu, kila mtu ana tabia zake kutokana na makuzi aliyopitia na tamaduni ya sehemu aliyokulia, hii kada ya human resource usijeuza ya kulaumiwa je ni kampuni ngapi umekutana human resource officer wenye hizo tabia? That is fallacy of generalization, kila kada kuna watu wa kila aina, huwezi kukosa kwenye jamii watu wanaojisikia, watu wenye maringo, watu wazuri nk...
Usitetee wakati karibu kampuni nyingi HR's wana hulka ngumu mioyoni mwao..
Nimeshaenda kampuni nyingn pia jina kapuni, tabia zao ni moja...uliza kampuni yyt sura ya Hr ikoje utajulishwa..
 
HRs ni wajinga wajinga fulani,wanajisikia mno;hawana adau,madharau mengi. Yuko moja kwa kampuni yetu, alikuwa na nyodo sana, anabana pua akiongea(lenyewe dume). Kuna jamaa alikorofishana naye,akamfanyia figisu hadi jamaa akahamishwa kituo cha kazi. Baada ya muda,huyo bwana aliyehamishwa akapata zali kuwa boss wa kampuni,,, huo mtiti,hr akaacha kazi... Siku hizi anagongea high life, watoto wake utawaonea huruma(amewatoa English medium,to kanumba schools).
Na ndicho nachoongolea..Hr's wanatakiwa wakumbuke maadili ya kazi yao.

Hiv hamnaga semina za HR's kama vitengo vingine wakumbushane maadil ya kazi zao?
 
Wakuu Salaam;

Hawa watu wanaosimamia idara ya rasimali watu wanatakiwa watambue kua wao nao ni binadamu kama watu wengine na lazima waheshimu utu wa mtu yeyote achilia mbali hadhi ya huyo mtu.

Hawa Hr's wa kampuni hua na majibu ya hovyo sana wawapo kazini bila kujali anamjibu nani.

Leo nimeenda kuulizia tenda kwaajili ya kuleta mazao fulan kwa hiyo kampuni kwaajili ya kutengeneza vyakula vya kuku, nikaambiwa Hr ndiyo yupo kwa leo, ile kuonana nae tu akaniambia 'kaa hapo'. Kwa hii kauli nilitaka nivue kiatu changu nimzibue nacho nikajizuia. Nikajikaza kukaa dakika 2 nikaondoka zangu bila kumwelezea kwa upana biashara yangu na nia ya kufika kwenye kampuni. Hajajua Mimi nikileta mazao kampuni mwao ndiyo bidhaa zao zikiuzwa wanakuja kulipwa badaye mishahara.

Kufika nje nikamwelezea mfanya kazi mmoja akanishauri nimsubiri Mkurugenzi mwenyewe. Mfanya kazi akanieleza kua kwa saivi wanahitaji mzigo kwani stock inakaribia kuisha.

Huyohuyo mfanyakazi akaniambia hata wakati akiomba kazi na hata wengine pia walipata shida sana kwa huyo HR kusajiliwa.

Sasa nikajiuliza HR kiburi anatoa wapi wakati ilikua ni bahati mbaya tu kumkuta yeye?

Nyie HR specialists na HR managers msione hizo kampuni ni zenu, Bali toeni Huduma kwa jamii kwa weledi na kuheshimu utu wa mtu kwani wote tuko kwenye utafutaji.

Je, wewe binafsi Ulishawahi kukereka na HR kwa lolote?
Ni kati ya kundi ambalo wanajiona wameyapatia maisha
 
Fundi ujenzi anahire, anaretain na ana-fire, vivyi hivyo mama ntilie, mafundi gereji nk hawa watu hawajasoma kozi za uongozi lakini wanafanya maamuzi kwa haki sana kuliko hao maHR

HROs Wanajisikia mno na kujiona wao ndio wao. Ukiona watu wanauliza kuwa wanasomea nini, ujue wanataka waone labda kozi hizo ni special sana kujustify uringaji wa hao watu, kumbe kozi zenyewe ni kawaida tu, digrii za miaka 3 na unit chache tu. Kozi yenyewe asilimia 90 ni ya kuajiriwa tu, sasa unaajiriwa halafu unaanza kunyanyasa wengine walioajiriwa au wanaotaka kuajiriwa kama wewe, ujinga na ulimbukeni mtupu.
Umesema kweli.
 
Mkuu pole lakini sidhani hapo kama ni sababu ya u Hr wake,hiyo ni tabia yake binafsi,Sisi Hr's tunafundishwa communication skills na somo muhimu sana,sio wote wako hivyo.
Hakuna HR anazingatia ethics za kazi yake..hua mnapenda kuabudiwa sana kwenye kampuni...na wote mko hivyo.

Mbingu mtaiskia.
 
Jana kuna jambo ameliongea ambalo kimsingi sio profession yake na hajui kitu nilijikuta nashindwa kujizuia kwa kicheko cha nguvu
Hii hulka walionao ya kujimilikisha kila madaraka kwenye kampuni kwa kivuli cha kazi yao ni ulemavu wa Akili.
 
Back
Top Bottom