Hivi kwanini maafisa uajiri wanajisikia sana?

Wakuu Salaam;

Hawa watu wanaosimamia idara ya rasimali watu wanatakiwa watambue kua wao nao ni binadamu kama watu wengine na lazima waheshimu utu wa mtu yeyote achilia mbali hadhi ya huyo mtu.

Hawa Hr's wa kampuni hua na majibu ya hovyo sana wawapo kazini bila kujali anamjibu nani.

Leo nimeenda kuulizia tenda kwaajili ya kuleta mazao fulan kwa hiyo kampuni kwaajili ya kutengeneza vyakula vya kuku, nikaambiwa Hr ndiyo yupo kwa leo, ile kuonana nae tu akaniambia 'kaa hapo'. Kwa hii kauli nilitaka nivue kiatu changu nimzibue nacho nikajizuia. Nikajikaza kukaa dakika 2 nikaondoka zangu bila kumwelezea kwa upana biashara yangu na nia ya kufika kwenye kampuni.
Hajajua Mimi nikileta mazao kampuni mwao ndiyo bidhaa zao zikiuzwa wanakuja kulipwa badaye mishahara.

Kufika nje nikamwelezea mfanya kazi mmoja akanishauri nimsubiri Mkurugenzi mwenyewe. Mfanya kazi akanieleza kua kwa saivi wanahitaji mzigo kwani stock inakaribia kuisha.

Huyohuyo mfanyakazi akaniambia hata wakati akiomba kazi na hata wengine pia walipata shida sana kwa huyo HR kusajiliwa.

Sasa nikajiuliza HR kiburi anatoa wapi wakati ilikua ni bahati mbaya tu kumkuta yeye?

Nyie HR specialists na HR managers msione hizo kampuni ni zenu, Bali toeni Huduma kwa jamii kwa weledi na kuheshimu utu wa mtu kwani wote tuko kwenye utafutaji.

Je, wewe binafsi Ulishawahi kukereka na HR kwa lolote?
[emoji846][emoji846]
 
hr ndo nani
 
Ila mkuu HR hahusiki na maswala ya tenda, hiyo ni kazi ya afisa ugavi.....
 
Hivi wanasoma manini kwanza chuoni? Maana sioni something special kwao ata mm niliyesoma finance ukinipa kuwa HR naweza kuperform vzr pengine kuliko ata wao.
Sheria na kanuni za utendaji eneo la kazi
 
Shida sio wadhifa wa hao unaowalaumu, shida ni hulka tunaita personality traits za watu, kila mtu ana tabia zake kutokana na makuzi aliyopitia na tamaduni ya sehemu aliyokulia, hii kada ya human resource usijeuza ya kulaumiwa je ni kampuni ngapi umekutana human resource officer wenye hizo tabia? That is fallacy of generalization, kila kada kuna watu wa kila aina, huwezi kukosa kwenye jamii watu wanaojisikia, watu wenye maringo, watu wazuri nk...
 
Hivi wanasoma manini kwanza chuoni? Maana sioni something special kwao ata mm niliyesoma finance ukinipa kuwa HR naweza kuperform vzr pengine kuliko ata wao.
Wanasomea mambo mengi sana uendeshaji wa Organization, uaandaaji wa payroll na malipo kwa wafanyakazi, kufuatilia michango ya wafanyakazi ya mifuko ya jamii, mipango ya uajiri rasilimali watu, kanuni na sheria za wafanyakazi, kupandisha madaraja na mishahara, ufuatiliaji wa ufanisi wa wafanyakazi performance appraisal wanasomea vitu vingi vyenye tija na vingine vingi nilivyoviacha

Kwanini umeamini moja kwa moja lalamiko aliyoleta huyo ndugu hapo juu, watu hutofautiana tabia mmejikita kulaumu professional ya human resource badala ya tabia ya mtu, mmetumia vigezo gani kuwalaumu na kuwatuhumu watu wa idara ya human resource? Idara nyingi tu kuna watu wana madharau sana, na ni kutokana na ushamba wa kitabia.
 
Crdb na bank kibao wanatoa salary advance kwa simu banking asikubabaishe kanywe bia.Naona huna hela leo.
Upo nje ya mada umeandika kihuni sana, kuwa na id fake haikupi uhuru wa kuandika utopolo au kuandika chochote unachojisikia, sasa unachomjibu mtoa mada kwa madharau je amekuomba pesa?
 
HRs ni wajinga wajinga fulani,wanajisikia mno;hawana adau,madharau mengi. Yuko moja kwa kampuni yetu, alikuwa na nyodo sana, anabana pua akiongea(lenyewe dume). Kuna jamaa alikorofishana naye,akamfanyia figisu hadi jamaa akahamishwa kituo cha kazi. Baada ya muda,huyo bwana aliyehamishwa akapata zali kuwa boss wa kampuni,,, huo mtiti,hr akaacha kazi... Siku hizi anagongea high life, watoto wake utawaonea huruma(amewatoa English medium,to kanumba schools).
 
Wanasomea mambo mengi sana uendeshaji wa Organization, uaandaaji wa payroll na malipo kwa wafanyakazi, kufuatilia michango ya wafanyakazi ya mifuko ya jamii, mipango ya uajiri rasilimali watu, kanuni na sheria za wafanyakazi, kupandisha madaraja na mishahara, ufuatiliaji wa ufanisi wa wafanyakazi performance appraisal wanasomea vitu vingi vyenye tija na vingine vingi nilivyoviacha

Kwanini umeamini moja kwa moja lalamiko aliyoleta huyo ndugu hapo juu, watu hutofautiana tabia mmejikita kulaumu professional ya human resource badala ya tabia ya mtu, mmetumia vigezo gani kuwalaumu na kuwatuhumu watu wa idara ya human resource? Idara nyingi tu kuna watu wana madharau sana, na ni kutokana na ushamba wa kitabia.
Fundi ujenzi anahire, anaretain na ana-fire, vivyi hivyo mama ntilie, mafundi gereji nk hawa watu hawajasoma kozi za uongozi lakini wanafanya maamuzi kwa haki sana kuliko hao maHR

HROs Wanajisikia mno na kujiona wao ndio wao. Ukiona watu wanauliza kuwa wanasomea nini, ujue wanataka waone labda kozi hizo ni special sana kujustify uringaji wa hao watu, kumbe kozi zenyewe ni kawaida tu, digrii za miaka 3 na unit chache tu. Kozi yenyewe asilimia 90 ni ya kuajiriwa tu, sasa unaajiriwa halafu unaanza kunyanyasa wengine walioajiriwa au wanaotaka kuajiriwa kama wewe, ujinga na ulimbukeni mtupu.
 
Halafu kuwa HRO ni mgawanyo wa majukumu na siyo kwamba umekuwa boss wa wenzio [emoji108][emoji87]

Msitumie udhaifu wa wafanyakazi wasiojielewa wanaowaita maboss kwa kutojielewa na nyie ndo mkataka kuwapanda vichwa na kuwafanyia mnayotaka kama vile kuwachongea kwa waajiri kwa kuwafanyia majungu mjue mtavuna uovu wenu!
 
Wakuu Salaam;

Hawa watu wanaosimamia idara ya rasimali watu wanatakiwa watambue kua wao nao ni binadamu kama watu wengine na lazima waheshimu utu wa mtu yeyote achilia mbali hadhi ya huyo mtu.

Hawa Hr's wa kampuni hua na majibu ya hovyo sana wawapo kazini bila kujali anamjibu nani.

Leo nimeenda kuulizia tenda kwaajili ya kuleta mazao fulan kwa hiyo kampuni kwaajili ya kutengeneza vyakula vya kuku, nikaambiwa Hr ndiyo yupo kwa leo, ile kuonana nae tu akaniambia 'kaa hapo'. Kwa hii kauli nilitaka nivue kiatu changu nimzibue nacho nikajizuia. Nikajikaza kukaa dakika 2 nikaondoka zangu bila kumwelezea kwa upana biashara yangu na nia ya kufika kwenye kampuni.
Hajajua Mimi nikileta mazao kampuni mwao ndiyo bidhaa zao zikiuzwa wanakuja kulipwa badaye mishahara.

Kufika nje nikamwelezea mfanya kazi mmoja akanishauri nimsubiri Mkurugenzi mwenyewe. Mfanya kazi akanieleza kua kwa saivi wanahitaji mzigo kwani stock inakaribia kuisha.

Huyohuyo mfanyakazi akaniambia hata wakati akiomba kazi na hata wengine pia walipata shida sana kwa huyo HR kusajiliwa.

Sasa nikajiuliza HR kiburi anatoa wapi wakati ilikua ni bahati mbaya tu kumkuta yeye?

Nyie HR specialists na HR managers msione hizo kampuni ni zenu, Bali toeni Huduma kwa jamii kwa weledi na kuheshimu utu wa mtu kwani wote tuko kwenye utafutaji.

Je, wewe binafsi Ulishawahi kukereka na HR kwa lolote?
Sio maafisa uajiri ni maafisa rasilimali watu
 
Fundi ujenzi anahire, anaretain na ana-fire, vivyi hivyo mama ntilie, mafundi gereji nk hawa watu hawajasoma kozi za uongozi lakini wanafanya maamuzi kwa haki sana kuliko hao maHR

HROs Wanajisikia mno na kujiona wao ndio wao. Ukiona watu wanauliza kuwa wanasomea nini, ujue wanataka waone labda kozi hizo ni special sana kujustify uringaji wa hao watu, kumbe kozi zenyewe ni kawaida tu, digrii za miaka 3 na unit chache tu. Kozi yenyewe asilimia 90 ni ya kuajiriwa tu, sasa unaajiriwa halafu unaanza kunyanyasa wengine walioajiriwa au wanaotaka kuajiriwa kama wewe, ujinga na ulimbukeni mtupu.
Pamoja na yote ila sio wote wapo hivyo, na ambao wapo hivyo ni wale wenye hulka za kishenzi, mbona hata watu wa receptionist wana nyodo hizo hizo pia, watu wangapi wanawalaumu sana watu hao, hawa secretary au receptionist pia huwa wanajibu kwa nyodo so wana kipi cha kulingia pia au wamesomea kitu gani pia cha muhimu kuwafanya hivyo ukiangalia unakuta hakuna ila ni personality traits tu, so hapo swala ni hulka na sio watu wa HRO,
 
Nakumbuka chuo walikuwa wanawatania wanawaita Makatibu Kata [emoji3][emoji3]

Eti wanasomea kwenda kufanya kazi kama makatibu kata!

Lakini ajabu ni kwamba wakifika makazini wanataka kuogopwa [emoji87][emoji87]
 
Tena huko kuitwa maafisa uajiri ndiyo huwafanya kujiona kama ni waajiri wa wafanyakazi wakati nao ni waajiriwa tu !
Maafisa uajiri ndiyo kada gani? Na usomi wenu wote mnasema maafisa uajiri [emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom