Hivi kwanini likitokea tukio ambalo serikali imefanya CCTV za jirani zinachukuliwa kwa nguvu na wewe unaunganishwa kwenye kesi

Hivi kwanini likitokea tukio ambalo serikali imefanya CCTV za jirani zinachukuliwa kwa nguvu na wewe unaunganishwa kwenye kesi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji.

Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
 
Wanaitwa Wahalifu wa Serikali waliowekewa kinga kwa Uhalifu wanaoufanya na kupewa jina la Wana Usalama wa Taifa, Kikosi Kazi, Majasusi, Wana Intelijensia, Mashushushu..

Ngoja nipige mswaki
 
Akili za serikali ya mbogamboga ndivyo zilivyo, tukiwaambia ni wauaji na wenye dhambi hamtaki kusadiki.
 
Back
Top Bottom