Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 339
imejengeka kwenye jamii zetu mwanaume ndio anatongoza mwanamke sasa mwanamke ukimtongoza mwanaume unaonekana malaya kitu ambacho si kweli.
uliwahi?
We kama mimi shost!!😎
Uwe unajiandaa na kibuti lakini... Maana kuna watu wakikataliwa huwa inakuwa kama kaambiwa anauwawa, kwa hiyo anaamua kufanya vurugu za mwisho mwishohahaaa ndio natongoza maana hata wewe nilikutongoza,kama nimempenda mtu kwanini nisimwambie
nitajilipua tu bila wasiwsi wowote
Ushawahi kutongoza..??imejengeka kwenye jamii zetu mwanaume ndio anatongoza mwanamke sasa mwanamke ukimtongoza mwanaume unaonekana malaya kitu ambacho si kweli.
Ushawahi kutongoza..??
Hisia za kimapenzi jamani zina uzito wake ambao haziwezi kuelezeka n when u ar bein trapped in yo heart by them over some body, waweza usifanye kazi hata hamu ya kula ikatoweka. Acha kitu kinachoitwa hisia za kimapenzi nyinyi. Kwakufahamu hili mwanamke akinitongoza huwa nakuwa na muda wa kumuuliza maswari mawili matatu kujiridhisha kwanza maana kuna wengine anafuata pochi tu, wengine kweli wamezimika na jinsi nilivyo. U better take consideration on somebody's feelings, yo response mi
ni maswali gn ambayo huwa unapendelea kumuuliza???
KWA NINI..??? aU KABLA HUJAJIEKSIPRESI YUASELFU, jamaa anakuwa keshakuwahi..??? I cant imagine jinsi unavyokubali haraka haraka..sijawahi
KWA NINI..??? aU KABLA HUJAJIEKSIPRESI YUASELFU, jamaa anakuwa keshakuwahi..??? I cant imagine jinsi unavyokubali haraka haraka..
unapenda kuhonga?si kweli mimi mbona mabinti wananitongoza sana. pengine ujawavutia kwa lolote kuanzia sura adi $$ .
kama akuvutii si unakaushanapenda mwanamke anifungukie,dah,tatizo anaweza akakutongoza ambaye hata hakuvutii na ukala mzigo ika ugomvi sasa kuachana
Na hiyo ndo hutokea mara nyinginapenda mwanamke anifungukie,dah,tatizo anaweza akakutongoza ambaye hata hakuvutii na ukala mzigo ika ugomvi sasa kuachana