Hivi kwa nini wanawake hamuwezi jambo hili?

Hivi kwa nini wanawake hamuwezi jambo hili?

napenda mwanamke anifungukie,dah,tatizo anaweza akakutongoza ambaye hata hakuvutii na ukala mzigo ika ugomvi sasa kuachana

hapo ndipo tunaposhindwana nao wao wanajua kila mahusiano lazima yatenganishwe na kifo.
 
Wanawake watu wa haya na.soni zaidi kuliko wanaume.

Mazoea yalivojengeka, kua mwanamme ndo wa kutongoza, akitongoza mwanamke mara anaambiwa malaya. Ingawa wengine wapo wenye ujasiri huo.

Wapo pia wanawake wanaotongoza si kwa maneno na mistari kama wafanyavyo wanaume. Wanawake tunatumia lugha ya ishara. Na kwenye hizi ishara basi wanawake hutongoza sana tu tena sana, lkn kama alivosema watu8 sio wanaume wote wanaolewa.
 
Last edited by a moderator:
tunatongoza sana soma alama za nyakati wewe si mpaka tutamke ata macho yanaongea ndugu yangu...
 
tunatongoza sana soma alama za nyakati wewe si mpaka tutamke ata macho yanaongea ndugu yangu...

nakumbuka kuna rafiki yangu wa "ke" ilikuwa kila nikikutana nae macho yake ananiangalia kwa mtindo wa "juu chini juu chini" mpaka naonaga aibu halafu stori zake ni hizi:
"uliwahi kuwa na msichana! mwanamke gan huwa anakuvutia! unapenda kuwa na mtoto! n.k"
 
mbona maswali ya kawaida hayo?
 
mbona maswali ya kawaida hayo?

ya kawaida hayo!
basi nikawa namwambia hv:
"mimi single boy nina mademu tele wazaramo,wasambaa,waarabu,wazungu na baadhi chotara!!!"
ila kweli demu wa kizungu na kiarabu ninaye!
 
Si kitu rahisi hata hawa wanaojidai wanaweza huenda hawajawahi ata kumtongoza mwanaume kwa maneno!mwanamke hutongoza kwa ishara tena kwenye hili wanatongoza sana tu hao wengi wenye uwezo wa kutongoza kwa maneno mara nyingi hua ni vicheche au waliokubuhu!
 
Back
Top Bottom