- Thread starter
- #41
Si kitu rahisi hata hawa wanaojidai wanaweza huenda hawajawahi ata kumtongoza mwanaume kwa maneno!mwanamke hutongoza kwa ishara tena kwenye hili wanatongoza sana tu hao wengi wenye uwezo wa kutongoza kwa maneno mara nyingi hua ni vicheche au waliokubuhu!
lakini wanasema eti utandawazi!