Upo mkoa gani mkuu?Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
Mkuu tafuta pesa kwenye mazingira yoyote,usiogope chochote Wala usikatishwe tamaa na yeyote..kama una nguvu za kufanya kazi yoyote halali we fanya..age is just a numberWadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
Utafutaji hauna mwisho,sawa na Elimu Haina mwisho,mtaji ni Afya Yako!Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
Kwanza mkuu hongera sana kwa kupata wazo hilo. Na kama upo Dar ni rahisi sana. Na nikwambie ukweli biashara haina umri muda wowote unaweza ukaanza biashara. Ila kwa kua umesema umri umeenda sana nakushauri anza na bajaji. Bajaji itakufaa zaidi ni salama kuliko bodaboda. Endesha bajaji usiku na mchana. Usiku fanya safari za Mwenge mataa mpaka ubungo utafanikiwa mkuu. Unaweza pia ukafika mpaka Buguruni. Unaweza pia bahatika ukapata abiria wa Mbezi ukawapeleka haraka.