Hivi kuoa Kuna faida Gani?

Hivi kuoa Kuna faida Gani?

Faida zake ni

1. Kuwa na mtu ambae mtashirikiana kujenga familia na kuilea.

2. Kuwa na mtu ndani ambae mtafurahi pamoja na kununiana pia

3. Kujiongezea majukumu

4. Kuwa na watoto ambao watakutegemea kwakilakitu.

5. Waafrica wajinga kukuona unaakili kwasababu umeoa.

6. Kuwa na nidhamu ya fedha (kwa wale wajinga wasioweza kumanage vipato vyao)

7. Kuwa na uchi salama ndani ili kuepuka magonjwa ( japo wapo Malaya wanaendeleza umalaya wao ndani ya ndoa)

Nikiamka ntaongeza mengine
 
...
152026_.jpg
 
Kuoa ni dalili ya ukomavu wa akili kwa mwanaume
Na vilevile ni shule/uongozi wa taasisi endelevu.Kama mtu hana sifa ya kuwa kwenye taasisi hiyo ni lazima imkatae na kumtupa nje au yeye mwenyewe aiogope na kutoingia.Kama yupo ndani atajitoa mwenyewe.Ndo
Hebu tutajie .....

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Samaleko mhishimiwa mwenyekiti wa KN?
Hebu tutajie .....

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nyani wazee hawafundishwi ulaji mwema wa mapera.Labda,kama wanataka kukusumbua tu.
 
Sijaoa Bado lakini unaoa Ili Kutengeneza kizazi chako au kudumisha kizazi,,, kama huna lengo la kudumisha kizazi chenu,,, au kuanzisha kizazi, sio muhimu Sana

Kizazi, watoto wako watakuwaje kwenye jamii, watakuwa vibaka, watakuwa wanaona Amna haja ya kuoa, watakuwa wanasiasa wa ovyo au wema,

Unaoa mwanamke Gani??

Yote hayo yanatoka kwenye kichwa chako kabla hata hauja barehe, unatakiwa kuyajua, usipo fikilia hayo utazalisha na kuleta lawama kwenye jamii.

Nahitimisha, kuoa au kutokuoa sio maazimio ya kikao ni mtu mwenyewe,

Ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom