Hivi kuoa Kuna faida Gani?

Hivi kuoa Kuna faida Gani?

Attachments

  • 20250718_222051.jpg
    20250718_222051.jpg
    65.9 KB · Views: 23
Mlioko kwenye ndoa mtuambie faida ya kuoa na wanawake kwanini mnapenda sana muolewe au ndo huwa mnatafuta pa kuponea?????
Watoto kwa mwanaume na kwa wanawake ni urahisi wa maisha ndio maana ukifilisika mwanaume mke anaingia mitini na mwanamke asipozaa mume anaingia mitini au kuanza vijembe pamoja na ndugu zake hadi mama mkwe
 
Back
Top Bottom